Humu hadi ue maarufu ndio wapost Topic zako au ?

Humu hadi ue maarufu ndio wapost Topic zako au ?

Kwani mnalipwa mkiandika nyuzi na watu kuchangia?

Sio kila mtu anatakiwa kuwa muanzisha uzi. Wengine tubaki kwenye comment tu.

Ungeanzisha uzi huu na account yako original, tupime kama jina lako linashabihiana na pumba zako.
 
Back
Top Bottom