Aaaah mkuu ungeandika mndali tu inatoshaHalafu jina lako mkuu refu nimeandika na kulifuta mara 5 nakosea tu
Hapo kwenye michepuko ndo tuanzie kuuliza una miliki single au wenye watotoAiseeh mi mzima na familia yangu na michepuko yangu yote.
Nimegaili mesepa na sadaka yangu mana huyu pastor kanichafua kweli anazungumzia kuhusu papuchi tuSijaenda chachi nitolee na mimi. Sio unitolee jefengo sasa
Nilikuwa nasubiri unitaje ndio nije
Nilikuwa kwenye uzi wa Madame ndiyo habari ya mjini leo Dabby