Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,577
Sasa wasiofunga ndio huku kwetu tunawaita makobeSijafunga bwana
Mungu ni mwema niko salama, na afya teleMi niko poa kabisa habari ya hapo ulipo na uzima wako kwa ujumla
nipogo jamaan nimekuja vipiii mnagawa hela si kwakuitwa hivi
Akija atoe hata salam tu inatoshaWakongwe wapo. Sema wakiingia wanakutana na I'd mpya wanarudi
Meru huwa yankubali saana aseeh.
I wish ningekuwa huko tukapate moja mbili.
Nakwambia....[emoji2] [emoji2] na ubonge huo
SawaNimemuona kaja kwa speed. Acha nimuulize dude vipi leo
SawaKtk ubora wake
nimewaombea kweli bamdogo nina upako si wa nchi hii haleluyaaHahaha.
Nikajua alienda kutuombea wakubwa zake
MhNipe kitengo basi kudhihirisha hilo pendo
Na ziko nyingii ka utitiriiiWakongwe wapo. Sema wakiingia wanakutana na I'd mpya wanarudi
[emoji2] [emoji2] nimecheka sanaKule haendi mpaka asikie kuna dude laamshwa
[emoji23] [emoji23][emoji3][emoji3][emoji3]
Mwambie akae vizuri kuna siku ataamshwa na yey
Eti kabadili gia anganikwani we umeshatambulisha bamdogo
sijambo shikamoo bamdogo za jumapiliYes mamy haujambo
HahahaCha balimi bwans