Hebu Muulize tuuuna shemela wangu Transcend unampa nani eti
hahhah ulokole upiiiYaani na upole wangu wote na ulokole wote huu
I miss you my omotolaKwani veepee
Wala tuu jamani[emoji2] [emoji2] hivi ulimwambia upo single
Mna msema nani nimesikipu [emoji20]Ataacha tuu huyo
Unatafuta nini kaka au kuna kitu umepoteza humuBado ni bahati tu hakuna kujibiwa
Sema hela bhanahatutaki chochote
Daby umemsahau my hubby[emoji1]Mie sijatajwa humu siji sasq
SijatajwaSasa mtu usije ukasema mbona sijatajwa. Mimi sio kompyuta mpakato nihifadhi majina yote
Alitutamanisha na mambo ya harusi sasa hivi anataka kukwepa ngoja nimuite shangazi espy akuje aoneSasaa je, sijui anaremba nini
Eeeeh!Sakayo alikwambia yupo single au una ugomvi na T
[emoji2] [emoji2] [emoji40] [emoji40]Ongea taratibu basiii
Unataka tufanane siooFuata pm huyo kashanibia huku anakuelewa si unaona anakulike
Ngoja nikutaje mm hubbyMie sijatajwa [emoji40] [emoji40] [emoji40]
bamdogo vipo vya kushare sio mapenziKizuri kula na nduguyo wewe hivi hautuonagi mimi na babu