DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,382
- 29,639
Wewe wa katikati nadhaniMi wa zamani au mpya?
[emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji8]Mwambie broo ainipeperushie kipepeo wangu sakayo..
I love you...[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
Akisinzia mkuuMlinzi yupo
Hana shida ya hela huyo! Ila ipo mkuuUwe unakapa na tu hela hela kidogo
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] muongo mtoto Wa r chuga huyoo kalima bangi kachoka now kakimbilia nchi jiraniAma nini.
Mimi naitwa Daby natokea namtumbo
Umeonaee[emoji23] [emoji23] [emoji23] inawezekana
Kashamtaja mbona[emoji38]ngoja husna muba akupe la baby wake.
Flexibility muhimu katika maishaMimi naweza kuishi mazingira yote... nitakuja makapuku
Mlinzi gani sharobaro hivyo [emoji23][emoji23][emoji23]Akisinzia mkuu
Mimi nipo
Hasa ShunieHahaaa!
Cover ya video sasa!
Najua kila mtu kaingia youtube sasa [emoji23][emoji23][emoji23]
Tatizo hatupati notificationHahah
Watu wanaweza kukuchukia kwa kutokuwataja
[emoji38] [emoji38] [emoji38] hata mi nashangaaHahaha
Mbona umekomalia hivyo
Wewe mpe tu mkuuHana shida ya hela huyo! Ila ipo mkuu