Tupo[emoji735]Tupo lipo wazi mamy kupokea chochote kutoka kwako....
Karangiza hadi majirani wachungulie dirishani
Mimi situmiiii nguvu mkuu. Tekinolo njia itahusika [emoji1] [emoji3] [emoji1] [emoji3]Mlinzi gani sharobaro hivyo [emoji23][emoji23][emoji23]
Mlinzi wa Sakayo ni Nyagei
Hahahaaa!Inaonekana mama klaree kakubana sana mana hata kuja kusalimia michepuko yako ya humu imekua shida
Makapuku sisiNawaponda kina nani
Mine forever!!!Te ammo [emoji173][emoji173]
Lots of kisses [emoji131][emoji131][emoji131]
Wewe uko nchi gani? [emoji23]Kwan bado wapo couple??
Hahahah I can't you. Ok see you babeSio you wachungulie dirishani watajikuta wanapiga chabo wasipoangalia maana Kasie aka mapishi sijisifii ila.... utajikuta unasinzia huku ukiniwaza hasa kila pale unapokumbuka mapishi yangu.
Shurti narusha chapati hewani ikirudi kwenye kikaango naendeleza libeneke heheheheheee mboga za majani naunga na karanga... ugali wa dona pembeni samaki wa kupaka...... hutojuta kumfahamu chotara Kasie.
Narudi jikoni mwaya.
Daaaaaa
hiii tabia ya kutamanishana misos mida kama hii sio vizuri
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji134] [emoji134] [emoji134]Ushawahi kuchezea ban wewe?!
Cc. Mods
unataka waachane?Kwan bado wapo couple??
Sijuii alikupa nini maana sio kwa bidii hizo[emoji2] [emoji2] na unishkuru mimi ninavyokua mkali kukutetea
[emoji2] [emoji2]Lee apitie Dompo baadaye
*** the what??[emoji20]Wtf= what the ****
Mambo vip mzeesaf tu aise...huku mpaka uwe mtu wa kujulikana sana..naona mnafurahi sana.sis wengine wageni tunawangalia tu
Hata mie mgeni mkuusaf tu aise...huku mpaka uwe mtu wa kujulikana sana..naona mnafurahi sana.sis wengine wageni tunawangalia tu
watu wanaombea muachaneWewe uko nchi gani? [emoji23]