wakutafuta
JF-Expert Member
- May 25, 2017
- 239
- 211
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]Hahah hawachelewi kusema hawajatajwa ila mnisaidie kuwataja bwana.
Ohoooo....Naandamana kuanzia kesho maana jina langu mnaliona refu[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Wee sema kweli?Ili iweje? ?
Na nitafutie huko uliko
Kumbee hebu tudhibishae hizo tuhuma maana ni nzitoHuyu hachagui ye anakulaga tu
Ndo nimekupa taarifa hivyoOhoooo....
Mi simooo
Sawa ila kuwa makini zaidi ya makinikaMchanganyiko yaani na mix kama visual DJ.
Sawa[emoji38] [emoji38] [emoji38]
Kwa nini ?Duuu...nimeishiwa pozi
madame kafanyeje tena...... ?Nilikuwa kwenye uzi wa Madame ndiyo habari ya mkono leo Dabby
Nawaona mnajadili jina langu naanaza mandamano mda huu[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji124] [emoji124] [emoji124][emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] kweli asee
Mkuu pamepoa kinoma. Unaweza ukaingia kwa lengo la kupumzisha akili ukakosa hata kathread ka kujishowkwa hili life la huyu jamaa watu lazima wapotee wasake chochote kitu..wasije wakafa njaa ila i hope jamvi litarudi tena kama lilivyokuwa mwanzo kabsa....
Bado simo [emoji24] [emoji24] [emoji24]