Humu ndani kumepoa sana

Tatizo mtu anaweza anazisha mada ya kichit chat members wengine wanamzodoa aisee. Kisa Tu ni mgeni kwenye forum
wageni tunapatga tabu kwli mkuu. unawez ukaanzsha mada yako nzur tu ila kwa kuwa ''hujulkani'' wanaishia kujibu watu wasozid kumi tu.ila akianzsha flan kwa kuwa n maaruf anapata reply 1000+
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…