Thread Starter
JF-Expert Member
- Mar 16, 2017
- 1,378
- 1,045
Huku jf pamezd mkuuNdio hivyo. Kila sehemu mambo kama Haya yapo. ila yasizidi Sana aisee.
Ngoja wajeIla wakongwe wa kuanzia 2010 -2006 naona wengi wamezeka bwana.
Maelezo yote ya nini jirani?Nashukuru sana jirani yangu wa kufa na kuzikana..ni kweli kumepoa sanaa ila nahisi ni kwa sababu watu wengi kwa sasa wanatubu na kumrudia mola so kumrudia mola na siredi za ajabu ajabu ni NO.
bado mkuu, bado nguvu zipo sana...Na sitaki kuamini kama kakukuacha ukaliwe na mamba.
Au mzee nguvu za kuwatumia zimekukwisha?
Sio mchezo Hata kasi ya mapanga shaa haifui dafuUzi una 200k hongera aseeh
Usijaliaisee...natamani sana kukumbuka...
Unaenda nao Sawa tuHuku jf pamezd mkuu
Hahahasina ubavu wa kuwatenga warembo kama nyinyi aisee [emoji12] [emoji12] [emoji12]
EwaaaaShikamoo madam Sakayo
HahahaSamahani mkuu..
Sema mashemeji kama ninyi [emoji16]
hku tnaenda nao sawa kweny uzi wao...ila mim kwang nkianzisha uzi hawaji ng'oooo! atakuja mmoja au sanasan watatu tu[emoji19][emoji47][emoji19]Unaenda nao Sawa tu
Mkuu hizi mambo zimebadilika sana siku hizi aisee....Parokooo....
kipindi nauza udaku, nakumbuka sana ulivyokuwa unaipamba fount page [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Maelezo yote ya nini jirani?
Keki ipo wapi