Kwema kabisa, Uko poa wewe?Kwema nyagei lakini?
Yeah Spare Tyre inapndeza zaidEee,we watakaje? Au nkuweke risevu kwa matumizi ya baadae?
[emoji22] [emoji22] [emoji22] yaani nikajua umemuhamisha nchi, nahisi kaedit hadi username maana simpati kabisa... Nimemaliza EDA na Nina mpango wa kutongoza tena aiseee[emoji23] [emoji23] [emoji23] hivi umemficha wapi mtoto wa mimi lakini
Hujambo mtotomadame kafanyeje tena...... ?
mi hali inakaba sina bundle [emoji38]
nitakulipaaaNakudai ujue?
Hongera sana HoE....Nalea mapacha.... wajanja washafanya yao
I missed you so much...........
Kuna mtu kanambia unanitafuta....
[emoji15] [emoji15] muanzilishi wa makapukuTatizo mtu anaweza anazisha mada ya kichit chat members wengine wanamzodoa aisee. Kisa Tu ni mgeni kwenye forum