Humu ndani kuna watu wana roho mbaya

Anthony Threedeyea

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2013
Posts
471
Reaction score
47
niliomba schoralship kidato cha tano ktk private school mwezi wa nne sasa.... Nilipata III 25 credit nazo tatu ila combination haiku balance...mdau nisomeshe ntakusomeshea mtoto wako pia kama shukran.....
 
Kama unataka kwenda shule ,hakuna shida .ila husiseme kwamba lazima unisaidie mimi.tutaangalia tutaongea
 
kichwa cha habari kimenstua sana by the way muombe mungu aingie ndani ya moyo wa unaowaomba utapata tu ufadhili.
 
Badili kwanza kichwa cha habari, naona unataka kuchafua hali ya hewa.
 
niliomba schoralship kidato cha tano ktk private school mwezi wa nne sasa.... Nilipata III 25 credit nazo tatu ila combination haiku balance...mdau nisomeshe ntakusomeshea mtoto wako pia kama shukran.....

Nimeshindwa elewa hii maneno!
 
Ndivyo ulivyofundishwa kuomba hivyo? Hayo malezi uliyopata kiboko! Napata picha ndugu yangu anakuja kwangu anaanza na hiyo statement yako 'una roho mbaya, si unisomeshe?'

Unless wewe ni mkenya. Manake ndo tumezoea unasrma 'aki weeh ni mchung, si unipatie doo nikanunue credoo niweke kwa simu nipigie sista angu?'

Cc Highlander
 
Last edited by a moderator:
Kwan lazima kusaidiwa,we wa wapi?
 
Kauli yako itasitisha mioyo ya wengi.......
 

Mvulana wewe sio mwanaume. Mwanaume ni mtu mzima hawezi kuwa na kauli tata hivi. Mbona kama unaongea kibabebabe, ni nini, ndio unabalehe?

Humu ndani kuna watu wana roho safi sana, watakusaidia lakini hiyo mentality ya balehe iondoe, usianze shutuma kwa mtu unayetaka msaada kwake kama unataka kufanikiwa maishani.
 
Una kauli chafu sana hali hiyo unaomba msaada kwa kauli chafu kama hiyo,,.....ungekua nazo je?,......jifunze ukarimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…