Huna haja ya kuteseka: Ni mtazamo tu!

Huna haja ya kuteseka: Ni mtazamo tu!

chamilo nicolous

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2016
Posts
2,097
Reaction score
1,457
Huna haja ya Kuteseka: Ni mtazamo tu!

Watu wako bize kusaka nguvu za ki.....maji ya.... Nimtazamo tu, tulia!

Mtazamo (attitude) ulionao ndio unaokufanya uishi hivyo ulivyo. Hapo ulipo upo mahali ambapo ni matokeo ya mtazamo wako! Huwezi kuwa zaidi ya unachofikiri. Tulia, acha ubinafsi, saidia wengine japo kwa kiasi kidogo ulicho nacho.

Husiamini kila unachambiwa, kila unachosikia (shinda vitu hasi). Vitu hasi vinatabia ya kusababisha maumivu, uchungu, wasiwasi, na woga katika maisha. Mfalume Daudi akasema (Zaburi 139:1): "Eeh Mungu, unichunguze uone kama ipo njia iletayo maumivu moyoni mwangu."

Jiamini! Kutojiamini ni tatizo kubwa (lack of confidence). Watu wengi wamekosa confidence na wameshindwa kupiga hatua kwa sababu hawajiamini, mpaka wapate washauri. Mara nyingi wameangukia kwa washauri wabaya au kuiga mabaya na kufuata mvuto wenye sumu (toxic influence). Ushawishi husiojenga, hakuna kinachoendelea! Tambua mvuto wako. Jiamini, tulia; ni mtazamo tu!

Ni mtazamo tu!​

Mafanikio yanaanzia kwenye akili. Baada ya kutafakari, Nabii Musa aliwahi kusema (2 Nyakati 1:7, 11...). Kuna mambo mengi moyoni awazayo mtu nafsini mwake... Ni mtazamo tu.

1. Mtazamo wako ni dirisha la ulimwengu!
Jitahidi sana kudhibiti mtazamo. Dunia ina mitazamo mingi; kamwe husiendeshwe na mitazamo, itawale mitazamo.

2. Fikiri na kushinda
Husipo kuwa mtu wa kufikiri, huwezi kushinda. Mtu huwa kile anachofikiri; kile unachokiwaza, ndiyo unachoishi! Matokeo ya kiwaza sana yanaleta presha, kupanua moyo; utakufa, ishi uhalisia.

3. Amini nayo yatatokea
Husipoamini, utaishia kulalamika! Amini kwanza; kinachoanza ni imani, kisha mengine ufuata. Badilisha mtazamo! Hili pia linahitaji imani... ni mtazamo.

4. Jitowe kikamilifu (Commitment)
Mambo huwa hayatokei hivi hivi (Mithali 23:7). Mtu aonavyo nafsini mwake ndivyo alivyo... Jitowe kufa na kupona.

5. Chunga maneno yako (Watch out your words)
Maneno yanaweza yakasameheka lakini hayawezi kusahaurika. Maneno ni mbegu; maneno unayoya panda leo utayavuna! Na ukiipanda leo, nani atakuja kuing'oa? Watu wanateseka na maneno walioyasema. Ukiona mtu anakuta kia maneno, yanampangilio katika akili yake.
Zaburi 19:13-14 zinasema zipo mbegu feki, hazina matokeo. Luka 6:43... Maisha yako yanafafanuliwa na 1 Timoth 3:1...

6. Tulia ulipo
Ni mtazamo tu! Tulia hapo maana wokovu unakuja. Inawezekana unaona kama umebanwa, mambo hayaendi, lakini ni mahali pa wokovu wako. Ni mtazamo tu.
 
Tunaishi kwenye matrix fulani bila kujitambua .
 
Back
Top Bottom