Huna hata neno moja kwa ndugu zako wa Loliondo?

Huna hata neno moja kwa ndugu zako wa Loliondo?

Chakaza

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2007
Posts
40,455
Reaction score
73,145
Umaarufu wa wasanii wetu hauna faida yeyote zaidi ya kutumika kwenye kuwabeba viongozi.

Hii ni tofauti na nchi zingine mfano Nigeria. Ona huyu hana hata neno moja ameandika kuhusu wamasai Loliondo zaidi yakutumia tamaduni zao kujijengea sifa.

20220613_052409.jpg
 
View attachment 2259002
Tulia wewe kama Mbowe alipata tabu kiasi kile, unataka Diamond afilisiwe? mnaandika tu kirahisi rahisi
 
Umaarufu wa wasanii wetu hauna faida yeyote zaidi ya kutumika kwenye kuwabeba viongozi.
Hii ni tofauti na nchi zingine mfano Nigeria. Ona huyu hana hata neno moja ameandika kuhusu wamasai Loliondo zaidi yakutumia tamaduni zao kujijengea sifa.
View attachment 2259002
Ungekuwa wewe ungekubali kurisk utajiri wako sababu kupigania haki za wengine dunia nzima hakuna tajir atakayefanya jambo hilo
 
Umaarufu wa wasanii wetu hauna faida yeyote zaidi ya kutumika kwenye kuwabeba viongozi.
Hii ni tofauti na nchi zingine mfano Nigeria. Ona huyu hana hata neno moja ameandika kuhusu wamasai Loliondo zaidi yakutumia tamaduni zao kujijengea sifa.
View attachment 2259002

Ila mjue kuwa lLOLIONDO sio kwa mzee wa kikombe jamni.......mana nasikia ngozo zilizowekwa ni kama za samson na delila enzi za utume
 
Kuna vitu sijavielewa vizuri aunpengine wengi wetu humu hatukifahamu vizuri.
Kuna Migogoro miwili,**** Loliondo ilianza Toka kipindi Cha Mzee ruksa (R.I.P STAN KATABALO),na Kuna huu mpya wa kuwahamisha Wamasai kwa nguvu kutoka makazi yao ya miaka na "mikaka"....
Loliondo imeibuka Tena siku za karibuni nadhani baada ya kuona majirani zao Ngorongoro nao kimewakuta Kama wao zamani..
Ngorongoro wakaazi wake Ni Wamasai silaha za za Jadi Ni Mikuki na Fimbo,Ila Loliondo Kuna mchanganyiko Masai na Sonjo,Hawa Sonjo silaha zao kuu za jadi Ni mishale.
Kwa vyovyote vile katika Migogoro hii miwili Loliondo na Ngorongoro ilitakiwa Serikali kutumia busara kubwa kuwahamisha hao wananchi maeneo hayo kupisha MAENDELEO au UHIFADHI wa maeneo husika Kama ndio lengo lao.
 
Umaarufu wa wasanii wetu hauna faida yeyote zaidi ya kutumika kwenye kuwabeba viongozi.
Hii ni tofauti na nchi zingine mfano Nigeria. Ona huyu hana hata neno moja ameandika kuhusu wamasai Loliondo zaidi yakutumia tamaduni zao kujijengea sifa.
View attachment 2259002
Kunyaland ndio ndugu zako? Nenda kawasemee na wafyekwe kweli kweli..
 
Woga na kujipendekeza ni kwa wasanii wetu tuu, wengine wanajitoa kuisemea jamii
Kwahiyo endsars unaifananisha na wamasai wa ngorongoro wanaoambiwa wahame wanakuwa wabishi??? 😅😅😅....

Kiufupi hao wasanii wa nigeria hakuna hata mmoja aliyewahi simama na kukemea mauaji yanayofanywa na makundi ya kigaidi ila wanachagua kwenye mass protests..... Nani ashawahi wapinga waziwazi polisi wa Nigeria kwa vitendo viovu wanavyofanyiwa raia wao ambavyo havijaanza kukemewa na raia??? Tena kwa maandamano na sio nyuma ya keyboard.....

Kama raia hawajaanza hakuna msanii anayeweza kuanza.....
 
Ajifanye kimbelembele aone cha mtema kuni
Hata mi siungi mkono wanaodai kuwa atoe tamko wakati wenyewe wamejificha nyuma ya keyboard.....

Ingia mtaani, paza sauti isikike ili upate kuungwa... Usitake watu wakuunge mkono wakati wewe hujajitokeza hadharani kana kwamba tukio halikuhusu kabisa....
 
Hawajui alikuwepo Dr. Lamwai nchi hii. Mwanasheria msomi aliyebobea. Enzi zake akisimama mahakamani, mapolisi na wanasheria wengine wanaogopa. Kwenye ulingo wa siasa aliitikisa serikali. Uliza mwisho wake ulikuwaje!
 
Hawajui alikuwepo Dr. Lamwai nchi hii. Mwanasheria msomi aliyebobea. Enzi zake akisimama mahakamani, mapolisi na wanasherehekea wengine wanaogopa. Kwenye ulingo wa siasa aliitikisa serikali. Uliza mwisho wake ulikuwaje!
Ndo hapo sasa... Wanadhani kila kitu ni kudandia tu bila kuwa na sababu maalumu....
 
Back
Top Bottom