Asante kakangu. Mbona wifi yangu atapata raha, mume mstaarabu na mawifi wa kishua!
Ngoja cheaters waamke manake saa hizi wanakimbia kuvalia soksi kwenye magari manake walirudi home midnite!
Si bora zivunjike,ya nini kukaa na mwanaume ambae wanawake karibu wote wa mtaani wanaujua utupu wake?
Mi ki-kwetu,mwanamke ndo anatoa mahari,are okay with that?
YES!,yani nikutose wewe?Usihofu hakibadiliki kitu hapa,mi sina longolongo bana!