Bi nyakomba
JF-Expert Member
- Mar 23, 2012
- 385
- 104
Huu umekua ni msimamo wangu kama MWANAUME.Yeyote anetoa haki ya mke wake kwa mwanamke mwingine hafai kuitwa mume.Haiwezekani Mungu akuumbe na kukupa sifa nyingi na mamlaka yote ya kuisimamia jamii halafu ufanye jambo la kijinga namna hii.MWANAUME anaridhika na mkewe na anamheshimu mkewe.Hata mke huyo anajisikia fahari kumtambulisha kwa rafikize.Siyo kila mwanamke anaujua utupu wako una urefu gani,yaani anakuona kama hujavaa vile.Yanini raha ya mkeo uigawe hovyo hovyo?Enyi wanawake mkimgundua mwanaume wa aina hii,mkimbie hakufai!Tafadhali wanaume tujiheshimu!
ili uheshimike kwenye ndoa heshimu familia yako heshimu mke/mme wako mtaishi kwa amani sana lakini hii chovya chovya madhara yake ni makubwa sana kama vile magonjwa, kuonekana uko mtupu, etc.
Sure,huwa nawasiki jamaa zangu wanadai hivyo!
ee Mungu nakushukuru mambo haya uliyafanya kuwa siri ilaa sisi binadamu tumekuwa wabaya kiasi cha kuyaweka hadharani lolol! bwawa??????????? naumi kichwa sijui likoje?
Dada yangu King'asti,umenichekesha mpaka baasi,kwamba kibamia chako nimekuachia ha,ha,ha,haaa!. . . Wengine koni zetu hazigawiwi hovyo,utam unazidi zile za Azam mara 5,naogopa kujaza watu bure!Watoto wa kike wataja jinyonga nipate kesi.Hii atakuja ataifurahia mai waifu atakaepatikana. . . . Dada tatizo lako umezoea kula kwenye hizo hoteli zenu mnaita za kileo,mi nimezoea kula kwa mama nijazie na wewe huendagi huko,sie kule tunakula na mikono usiposhiba unaongezewa ugali mkubwaaa!Twende huko leo!
Wanadai mwisho wa raundi ya kwanza shuka inaloa yote na wakati wa gem huwezi kugusa ukuta wa pembeni kwa sababu ya ukubwa!
Hao wanaolambwa huwa ni akina nani? Si wake za watu pia? Kwanini aibu iwe upande mmoja? Kuna wake za watu siku hizi wanatongoza wanaume kama hawana akili nzuri. Au ukimtania tu keshakukubalia. yaani tuseme tu dunia hii hivi sasa ni balaa tupu! Eiyer anasema yeye hatajaribu, lakini atashangaa na roho yake atakapojua kwamba mkewe anagawa hadi kwa wauza mkaa hapo mtaani kwake. Ni jambo la kawaida tu hilo. Ukiona mme ametulia, basi mke kipanga and the vice versa.Eiyer ,
yaani leo umenikuna.......
Unayosema ni kweli kabisa....
Kuna baadhi ya wanaume wanalamba kila mwanamke mtaani kuanzia housegirlwa nyumbani kwake mpaka wanaojikalisha vibarazani.... Jamani aibuuuuuuu wanaume muache....
Au maofisini atalamba wa ofisiyake hadi ofisi za jirani jamani aibuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu muacheee mnadhalilisha wake zenu, mnaaibisha ndoa zenu , kukunyong'onyesha watoto wenu..........
Kula tano Eiyer
mkuu umenena vyema, ila kumbuka usemi huu "usitukane mto kabla hujavuka mamba"Huu umekua ni msimamo wangu kama MWANAUME.Yeyote anetoa haki ya mke wake kwa mwanamke mwingine hafai kuitwa mume.Haiwezekani Mungu akuumbe na kukupa sifa nyingi na mamlaka yote ya kuisimamia jamii halafu ufanye jambo la kijinga namna hii.MWANAUME anaridhika na mkewe na anamheshimu mkewe.Hata mke huyo anajisikia fahari kumtambulisha kwa rafikize.Siyo kila mwanamke anaujua utupu wako una urefu gani,yaani anakuona kama hujavaa vile.Yanini raha ya mkeo uigawe hovyo hovyo?Enyi wanawake mkimgundua mwanaume wa aina hii,mkimbie hakufai!Tafadhali wanaume tujiheshimu!
na hayo ndo maisha mimi binafsi namkubali sana Kaunga sana she can make a good wife, and you too eiyer you are a good husband. Maisha ya kuruka ruka hadi unaaibika ni mabaya sana tena both sides. Nimewah kuskia tena mtu anadai kabisa mwanamke fulan nimetembea nae ila ana njia kubwa break ni korodani lol niliskia vibaya sana halaf mama mwenyewe ni mwingi wa haya mambo lol. sipend hata kuskia hizi tabia.
Toobah! Yaani mie nakupeleka kwenye ma-lunch ya bei mbaya ushaalika na gf wako tena! Tutashare bill ujue kabisaa.
Kaunga, bahati uliyonayo ya kumpata my bro hapa sio haba. Karibu kwenye familia, mkaja wa wifi kwenye mahari usisahau walau kakitenge ka uholanzi eeh na CL ya matching color.