Huna mpenzi bali una tapeli. Mwandikie SMS kuwa una shida na elfu 10 chap halafu subiri majibu

Mwamuzi wa Tanzania

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2020
Posts
15,486
Reaction score
45,256
Hii ni kwa ma men.
Wengi wenu hamna wapenzi, mko single sema tu mna mabinti ambao wanawauzia bidhaa zao ingawa mnawaita wapenzi. Hata kama jana mlikutana mkazurura (kula bata) ukagharamia kila kitu, 60k- 70k ilikutoka.

Leo asubuhi mwambie akutumie 10k chap una shida utaona sarakasi zake. Ahahahah😭😭😭😭
Nasikitika kuwaambia kuwa hamna wapenzi, bali mna wanyonya damu. Shtukeni.

Mkijibiwa hizo SMS zenu tumeni screen shot hapa tucheke pamoja.
 
Sisemi uongo mtt wa watu anafanya sna mpaka muda mwingine km shida ni ya kawaida nakula buyu
 
Pole lakini amini mapenzi yapo ndugu yangu, omba Mungu akukutanishe na MTU sahihi, uta enjoy.

Wanawake hao unaowasema wewe wengine wanatupa mpaka tunakataa wenyewe. Acha kabisa
 
Sasa inakuwaje unaomba 10k ovyoovyo, hao ni wanafunzi wa vyuo ndio wanaombaomba
 
Ni fasheni tu kuliwa hela, usipotoa kuna wengine watatoa na kuwala hao totoz. Ila kuna wa gharama nafuu japo masela wengi hawawapendi wa gharama ndogo
 
Wenetu huwa mnakosea wapi kuchagua wanawake, Pisi inashindwa kukuokoa na ten kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…