Huna mtaji mkubwa? jiajiri kwa kuendesha bodaboda

Huna mtaji mkubwa? jiajiri kwa kuendesha bodaboda

PAZIA 3

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2018
Posts
1,102
Reaction score
1,919
Kama kuipata ni tatizo,mimi ninayo,ila ipo katoro,unaitaji kuwa na hela ya kuanzia,ukipenda,ni Pm ntakuelekeza vzr
 
inaonekana unauza pikipiki uliyokuwa unaitumia kwa bodaboda.
 
Back
Top Bottom