Huna mtaji? Njoo tufanye biashara ya real estate

Mi sidhani kama wewe umeshindwa kuzungumza pasipo kuchafua biashara za watu but good luck
 
Achana naye mkuu,reply zake kwenye threads nyingi huwa ni zakupinga au kuonyesha ujuaji(I stand to be corrected).Drawing him from psychology ni mtu wa kujivuna,kujiskia,dharau,mjuaji,kiburi cha elimu ndogo na pengine aliwahi tembea ughaibuni kidogo so anaona kama kamaliza kila kitu.
Akili kubwa itaendelea kutawala akili ndogo milele.
 
Kuna Daktari aliniambia kuwa hizo ni dalili za ugonjwa wa akiri pia, yaan ujuaji mwingi, ubishi na ugomvi. Yaani unakuta kila mtu unamuona hajui, au kila mtu unambishia au unagombana na watu. So anaweza kuwa anatatizo la kisakolojia, na yeye anakuwa anajiona yupo fine. Wengine ni watu wakubwa, wasomi na wanafanya mambo yao lkn ukiwachunguza kiundani wanashida kichwani. Ndo maana Madaktari wa afya huwez mkuta anabishana na mtu asiyemjua, labda awe dr mwenzie na wanafahamiana. Atakachofanya ni kumuangalia kwa makini anavyoropoka na kumsoma, hvyo ni rahisi daktari kumgundua mtu mwenye shida akiri hata km watakuwa wanaongea friendly.
 
Mkuu umeeleza vizuri sana
Asante sana.
 
Duh!
Wadau mnamnanga kweli mleta uzi
 
Maelezo yako yanaonesha kuwa wewe ni dalali, yaani ingekua real estate ndio hiyo ambayo unatangaza kila mtu si angekua na company yake, haya wajinga ndio waliwao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…