Huna Sababu ya kung’oa Jino Lako, Njoo Utibiwe mapema

Zirconium

Senior Member
Joined
Feb 1, 2025
Posts
196
Reaction score
254
Iwapo Jino lako limetoboka /Kuoza kuna Matibabu zaidi ya Matatu Ya Kulitibia na Likabaki imara kwa zaidi ya miaka 15!.

1. Huduma ya kutibu mzizi wa jino Root Canal Treatment (RCT)
2. Huduma ya kujaza kwa dawa ya mda Mfupi/ mda mrefu
3. Huduma ya kuondoa kiini Cha jino

Hizo njia zote tatu zinaweza tumika kulitibia jino na likapona vizuri , ukaweza kula na kutafuna vizuri

Hapo nimeweka Picha za Matibabu kabla na baada ya Matibabu
Karibu Tukuhudumie

Appointment 📅 0658950085
Tupo Dar es salaaam, Pwani

 
Mimi nipo Tarime napataje huduma yenu?
 
Hiyo root canal treatment ndio inahusisha ma X-ray mengimengi?
 
Gharama?
 
Huduma ya kuchonga meno vipi .Nina maneno yamekaa kama jembe na pembeni kama ofsa ngiri ndugu mtaalamu.Asante.
 
Huduma ya kung'arisha meno vip ipo?
Ndyo huduma ya Kung’arisha meno ipo ikiwepo Veneers, Crowning, Bleaching , pamoja na professional tooth Scalling & polishing & flossing… Karibu Tukuhudumie
 
Huduma ya kuchonga meno vipi .Nina maneno yamekaa kama jembe na pembeni kama ofsa ngiri ndugu mtaalamu.Asante.
Ipo boss wangu karibu , Tuwasiliane kwa namba kwenye post , niweze kujua namna ya kukusaidia
 
Reactions: EEX
Habari ya uzima , sina mengi ya kusema zaidi ya kukumbusha Kuwa Iwapo unakosa meno Unaweza weka meno bandia ya Kuvaa Na Kutoa ( Removable partial Denture) , au kuweka meno bandia ya Kusumu (FD ) na Ukaweza Kutabasamu na Kujiamini

Gharama ni Rafiki na nafuu kwa Kila mtu , Unaweza tembelea Offisini kwetu ukapata hii na Nyingine za afya Kinywa na meno
Tunapatikana Pwani na Dar es salaam
Mawasiliano 0658950085

Picha ni Huduma ya Meno bandia kabla na baada ya matibabu karibu Tukuhudumie 🦷✅
 

Attachments

  • IMG_4573.jpeg
    696.3 KB · Views: 13
  • IMG_4579.jpeg
    699.1 KB · Views: 13
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…