Hunger alert in Kanya as Zambia 2018 maize output to fall about 34 percent - government

Kenya haitawai nunua mahindi kutoka bongolala,heri tununue from Indonesia ama Papua New guinea
Hatuwezi kuwaruhusu kununu mahindi yetu, Maana tunawadai pesa mlikopa mahindi na bado hamjalipa.
Pesa mtapata wapi za mahindi. Mnategemea msaada halafu mnalia lia kama watoto.
 
Hatuwezi kuwaruhusu kununu mahindi yetu, Maana tunawadai pesa mlikopa mahindi na bado hamjalipa.
Pesa mtapata wapi za mahindi. Mnategemea msaada halafu mnalia lia kama watoto.
Ninyi ni watu wa kusubiri food donations to nchi za nje, njaa kali na hamna pesa
Kenyans mock Uhuru after receiving food donations from this desert country
78% of Dar residents or 4.2 million danganyikas suffer from hunger! jee mmepata chochote cha kutia ndani leo??
 
Pesa mzitoe wapi wakati mna madeni hadi matakoni, chakula mnategemea food donations to Arabuni na China, tunawadai pesa za mahindi mliyonunua mwaka 2014 hadi leo hamjalipa, stupid country.
Hatupewi food donation kama nyinyi. Serikali ya Kenya ndio huwa inanunuwa mahindi yenyewe ama inaweka zero tax na kukubalisha private sector kuimport kutoka mexico ama Afrika Kusini. Wewe vipi?
 
78% of Dar residents or 4.2 million danganyikas suffer from hunger! jee mmepata chochote cha kutia ndani leo??
Hakuna njaa TZ kijana. Usifananishe Dar na mambo ya kijinga.
 
Hakuna njaa TZ kijana. Usifananishe Dar na mambo ya kijinga.
numbers don't lie. wacha kulia ndio uweze kujinasua kutoka kwa hali yako!
4.2million dar dwellers suffer from hunger. that's whatsup.
 
numbers don't lie. wacha kulia ndio uweze kujinasua kutoka kwa hali yako!
4.2million dar dwellers suffer from hunger. that's whatsup.
Weka source.
 
78% of Dar residents or 4.2 million danganyikas suffer from hunger! jee mmepata chochote cha kutia ndani leo??
Na hatuwauzii mahindi this time, our brothers from SADC wanaupungufu wa chakula, tutawapa bura haya mahindi, endeleeni kufa kwa njaa, stupid people.
 
Kenyans mock Uhuru after receiving food donations from this desert country
Inaonekana hata nchi yako huijui vizuri, Kenya ndiyo nchi pekee katika bara la Africa kwa sasa ambayo haina civil war lakini inategemea food donations.
jee umetia kitu ndani leo??

after hii report, it is highly possible there are mass graves of hunger victims in tanzagiza!

78% of urban dwellers suffer from hunger, a whopping 4.2 million pple!

Lets settle this once and for all - hunger in Tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…