Hunger alert in Kanya as Zambia 2018 maize output to fall about 34 percent - government

Toa upumbavu wako hapa JF great thinkers. Yaani unaweka link uliyoandika wewe mwenyewe hapa JF.
Weka source kuhusu hunger Dar
Weka source kama hapa:
View attachment 768814
wacha kuwa pumbavu wewe! it's either you are blind or stupid. my thread provides links for my claims. kama hutaki kusoma sababu ya maumivu, ugua pole aisee.
 
You will continue depending on food from us for the rest of your life, just continue to grow flowers to please you boyfriends in Europe while at home starvation is killing you
Tanzania’s rice exports to Kenya, Rwanda to increase
 
kuna mtanzania anakosa chakula, ni uvivu wake, kumbuka hakuna chakula kinatolewa bure na serikali

naona umeanza kuikubali hali yako! hongera, the journey to healing starts with acceptance.
 
naona umeanza kuikubali hali yako! hongera, the journey to healing starts with acceptance.
Nimekuonyesha kwamba tunachakula cha kuwalisha wakenya wote na nchi zingine kumi hapa Africa, iweje apatikane mtanzania mwenye njaa, sisi sio Kenya, sasa hivi gunia la mahindi Kg 100 ni TZS 25,000, iweje mtu akose chakula?
Beans galore as Dar exports feed 10 countries
 
aisee pole kwa hali yako ila data imeshatoka! sasa muwafiche walio fanya utafiti na walio chapisha data. kwa sasa tunangoja kufichua mass graves.
78% ya urban dwellers suffer from hunger. hata mkificha tutafichua tu
 
aisee, sindano inafanya kazi. inabidi thread zifichwe ama watu watakumbana na wasiojulikana

 
kenya waje sasa tutawauzia naana hata mkuu JPM kashaisoma namba maana debe kuuzwa 6,000 ni hatari sana!
JPM. Wanajaza Unga tu. Sio mahindi. Kuna kiwanda cha kusaga unga. Na pumba zibaki nchini kwa matumizi ya mifugo wetu
 
Tafadhali serikali ya kenya inunue mahindi kutoka mexico na africa kusini na isidhubutu kununua grain ata moja kutoka Tanzania ni hayo kwa sasa.
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ hasira za mkizi
 
wacha kuwa pumbavu wewe! it's either you are blind or stupid. my thread provides links for my claims. kama hutaki kusoma sababu ya maumivu, ugua pole aisee.
wacha hasira njaa mbaya sana mpaka munakula mizoga πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ unajiita unapesa huku unakula mizoga hehehe

 
ukweli uko pale pale munapewa chakula bure kabisa
pesa ya kununua hamuna na hamutakua nayo

Chinese firms donate food to Kenya's drought victims - Xinhua | English.news.cn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…