Juzi wamekopa tena China [emoji23][emoji23][emoji23]1)Deni la Kenya ni Mara tatu ya Tanzania
2)Unemployment Kenya ni Mara mbili
3)Inflation ni Mara mbili ya TZ
4)Gap between rich and poor ni Mara 2
5) Gharama ya maisha ni Mara 2.
Mchina lazima achukue bandari ya Mombasa.
Jamani hawa wenzetu wanaendeleaje na njaa huko? Tuwapatie msosi kidogo.
Si lazima nile Mimi.Umekula lakini?
Isije ikawa unathibisha ule usemi wa the hungry man is ...