Hunting down gangsters with Kenya's Ahmed RashidπŸ‘πŸ‘

mulisaaa

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2017
Posts
6,969
Reaction score
7,027
Piga kopa Ahmed. Wasomali wanawatia adabuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Pangani Six sio watu wakuchezea. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Ma jobless please take care
 
Eastleigh ni mtaa ya wasomali. Sasa wanatutia adabu aje na tayari wao ni wakenya pia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Somali is among the official tribes of kenya. Rashid ni polisi just like any ordinary police in Kenya. Hessy too. Ambao wamejitolea kumaliza crime mtaani. Kenya is more than Kikuyu & Jaluo. Kuna makabila mbalimbali in kenya wengine kutoka Ethiopia,Uganda na Somali, including the Maasai in KE&TZ.
Piga kopa Ahmed. Wasomali wanawatia adabu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Pangani Six sio watu wakuchezea. [emoji23][emoji23][emoji23] Ma jobless please take care
Wacha kusambaza propaganda yako hapa.
 
Ludia kusoma tena ulichoandikaπŸ€”πŸ€”πŸ€”
 
Hata Tanzania inahitaji watu kama hawa, maana ni ajabu sana bilionea kutekwa na kurudishwa na asikamatwe mtu, inashangaza sana kwa nchi inayoongoza dunia kwa uchawi na ushirikina hawakuweza hata kutumia hizo imani zao.
 
Achana naye huyo Madenge, yeye anajua wasomali wote wanatoka Somalia. Wasomali wa Kenya ni wachapakazi sio mchezo, huo ndio ukweli mtupu. Ukiangalia anavofanya kazi zake waziri Amina Mohammed au DPP Noordin Haji utafahamu kwamba wengi wao huwa wanasimamia haki bila kusitasita. Ni wazi kwamba chini ya uongozi wa rais Uhuru Kenyatta wasomali wamewezeshwa. Bungeni mwenyekiti wa walio wengi ni Adan Duale, msomali bila ya kumsahau wakili mashuhuri the Grand Mullah himself, Ahmednassir. Usomalia unaishia kule Kismaayo.
 
Tanzania ndio inaongoza dunia kwa uchawi....


Mimi mwenyewe mchawi namba moja. Biashara nayo fanya huwezi fanya bila uchawi. Mimi na uchawi wa Congo na Tanzania . Tena wa Tanzania nimeuchukulia Kyerwa Mbeya. Am always proud of thatπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘πŸ‘πŸ‘
 
Kwa akili zako unazani siwajui wa Somali. Huku TZ Dar es salaam pia wana mtaa wao. Wapo kariakoo. Ulizia mtaa wa wasomali ukifika KariakooπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Huku wana hadi Benki yaoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Kwa taarifa yako lile jengo la prism tower linamilikiwa na msomali hapo Nairobi. Alisimamia kesi ya Uhuru ya uchaguzi ulipo pingwa. Huwa anakuja TZ kula bata na ndugu zake wanao miliki city mall hapa TZ.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚. Kwanza unajua kwanini EFBM Bank ilifungwa???πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

The real fact is that no Somali's in Kenya no KenyaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Somali ni kabila Kenya, yaani ukoo wao ni wa kikenya tangu enzi za mababu zao. Hawajahamia Kenya hivi majuzi au hata karne hii. Punguza mapepe na huo upedeshee wako wa Kariakoo.
 
Hata Tanzania inahitaji watu kama hawa, maana ni ajabu sana bilionea kutekwa na kurudishwa na asikamatwe mtu, inashangaza sana kwa nchi inayoongoza dunia kwa uchawi na ushirikina hawakuweza hata kutumia hizo imani zao.
hahahaha manze zero chills
 
Somali ni kabila Kenya, yaani ukoo wao ni wa kikenya tangu enzi za mababu zao. Hawajahamia Kenya hivi majuzi au hata karne hii. Punguza mapepe na huo upedeshee wako wa Kariakoo.
You Kenyans are the biggest fools i have ever found in this worldπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜ŠNiliona mmeongeza na kabila la wahindi KenyaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ How many Indians are in each African country??? You have no local content in your tribes. Just google and see how many tribes are in TZ. Huwezi kuta kabila la kigeni Tanzania. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚You guys ni wanjinga sanaaaaaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ How many Congolese and Rwandese are in TZ but you will never see there tribes being included in TZπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Ongezeni Americans, Chinese, Japanese and so on.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜Š Protect your local content first. Tanzanians have many tribes. But they will never add any foreign tribe.... Today Kenya is IndiaπŸ–•πŸ–•πŸ–•πŸ–•πŸ–•πŸ–•
 
Tanzania tribesπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Show me Indians or Somalis if they are included. Show me Congolese or RwandeseπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚They have more tribes than Kenya but they dont discus about tribesπŸ–•πŸ–•πŸ–•πŸ–•πŸ–•You guys are just the biggest fools to talk about tribes. No Tanzanian talks about tribes.
 
Somali ni kabila Kenya, yaani ukoo wao ni wa kikenya tangu enzi za mababu zao. Hawajahamia Kenya hivi majuzi au hata karne hii. Punguza mapepe na huo upedeshee wako wa Kariakoo.
So your so proud about Somalis being part of a tribe in Kenya???? 😁😁😁😁Am real sorry to have someone in this developed world to start talking about tribes😁😭😭😭😒😒😒 Okay include Chinese in your tribeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Real your Monleys.
 

Soma historia naona kama uliharibiwa na kuwa na kauli za kitumwa, hiyo Tanzania kila mmoja wenu humo ni mzamiaji, soma walikotoka Wabantu na hata hao Waarabu. Wote ni kama nyie Wakongoman mliozamia Tanzania.

Mtu ambaye mababu zake walizaliwa Kenya, hajui nchi nyingine hata kama anayo asili ya India tunamtambua kama Mkenya na kumhusisha kwenye ujenzi wa taifa. Tunao hata Wamakonde ambao tumeongeza kama kabila la Kenya baada ya mababu zao kuja enzi zile, sasa wajukuu wao tuwarudishe Msumbiji wataanzia wapi.
Wewe umezamia kwenye nchi ya watu na tayari unahubiri chuki, ifahamu hiyo Tanzania imebeba makabila yaliyotokea kwenye mataifa mengine, Wangoni walitoka Afrika Kusini, haya kawarudisheni basi...
 
Somali ni kabila Kenya, yaani ukoo wao ni wa kikenya tangu enzi za mababu zao. Hawajahamia Kenya hivi majuzi au hata karne hii. Punguza mapepe na huo upedeshee wako wa Kariakoo.
Nakuhulumia sana. Unapoishia kufikili mimi ndipo napo anziaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Quoting my one comment thrice? Meeen, this nigga be loco! 😎😎😎
 
I know history more than you. In TZ am a biggest witch. Respect my presence please.
 
Nitakunyea bro. Tuliza mshinonko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…