Hamjambo!
Huyu jamaa sijui hizi Hesabu kazipatia wapi. Nitashangaa kama hakuna aliyempatia.
Hesabu ya kale sana hiyo. Huo mfungo tunataka tuone maajabu yake. Hesabu hiyo na El nino zinakaribiana sana. Namba ni hizohizo. Ngoja tuangalie.
Kama ni Ramli au hesabu za kale zilikuwa halisi