Pesanyingi
JF-Expert Member
- Apr 15, 2023
- 1,304
- 2,152
Ukiwekeza janja janja utavuna janja janja, similarly if your are sick the business will also be sick, ukiumwa biashara nayo itaumwa ukisafiri vivyo hivyoTayari mapicha picha yameanza huko mitaa ya ubwelani.
Muunganiko hauonekani huku baadhi ya mambwela wake waki a mini ubwela utachanganyia mwendo katikati ya mashindano ya ligi.
Wakati wakiwa wana tafuta muunganiko ambao haujulikani utapatikana lini watajikuta pacha mwenzake kamuacha mbali sana kwa tofauti ya alama.
Watafukazana alafu bonge nae kama kawaida atapokea ubwela uliochacha akitaka kuuchachua na kuinua matumaini hata nafasi ya nne, wakati huo msimu unaeleka tamati na wakitafuta mwalimu mweupe mwingine ili kuendelea na season.
Soka ni uwekezaji na siyo janja janja, ukiweka janja janja mambo wala hayajifichi kwani soka ni mchezo wa wazi.
Na nyie mdhamini tatizo lenu boss wenu mbahili, ndio maana kajaza mabango mpaka makalioni.Yanga bingwa mpaka sasa ana point za team 6 anazozidhamini kinyemela.
Yanga hajawahi kufungwa na simba mbona unatoka nje ya mada.Na nyie mdhamini tatizo lenu boss wenu mbahili, ndio maana kajaza mabango mpaka makalioni.
Ila kama hujui Azam Media inatoa hela za kujikimu kwa timu zote zinazo shiriki ligi kuu ktk mkataba wake wa bil 225 alio ingia na TFF.Sasa huyu unamweka kundi gani.
Msimu uliopita tumechukua sita kwa 5imba na msimu huyu ngao tumemgonga je yy tulimpa kiasi gani? Au kwenye zile bil 7 kuna hela mlizo hogwa/kudhaminiwa na GSM.
Wewe kigezo chako si sababu wanafungwa na Yanga unaona GSM kuhonga, nimekuuliza na ww umehongwa?Yanga hajawahi kufungwa na simba mbona unatoka nje ya mada.
Inawezekana upo sahihi ila AZAM huwa haweki ahadi ya pesa kwa team anazizidhamini kitendo cha team zinapocheza na simba kuahidiwa pesa wakiifunga simba sio ishara nzuri msimu uliopita team zikicheza na simba zinaahidiwa pesa pamoja na yule ndugu yke GSM na baadhi ya wakuu wa mikoa ambao ni utopolo that is my point simba kufungwa na yanga ni kawaida hata simba ilivyukuwa vizuri ilikuwa inaifunga yanga ni kawaida ulipigwa nne au umesahau.Wewe kigezo chako si sababu wanafungwa na Yanga unaona GSM kuhonga, nimekuuliza na ww umehongwa?
Vp na hao Azam nao huwahoni, tena wale wanatoa hela za kujikimu kwa timu zote tena kwa misimu kumi,vp nao hawa au kwa kuwa GSM.
Subira yavuta heri yaani mambo mazuri hayataki harakaNa nyie mdhamini tatizo lenu boss wenu mbahili, ndio maana kajaza mabango mpaka makalioni.
Ila kama hujui Azam Media inatoa hela za kujikimu kwa timu zote zinazo shiriki ligi kuu ktk mkataba wake wa bil 225 alio ingia na TFF.Sasa huyu unamweka kundi gani.
Msimu uliopita tumechukua sita kwa 5imba na msimu huyu ngao tumemgonga je yy tulimpa kiasi gani? Au kwenye zile bil 7 kuna hela mlizo hogwa/kudhaminiwa na GSM.
Unaleta hisia..... Nitajie timu moja ambayo GSM kupitia Official Staff wake alisema mkiifunga 5imba atatoa kiasi fulani?Inawezekana upo sahihi ila AZAM huwa haweki ahadi ya pesa kwa team anazizidhamini kitendo cha team zinapocheza na simba kuahidiwa pesa wakiifunga simba sio ishara nzuri msimu uliopita team zikicheza na simba zinaahidiwa pesa pamoja na yule ndugu yke GSM na baadhi ya wakuu wa mikoa ambao ni utopolo that is my point simba kufungwa na yanga ni kawaida hata simba ilivyukuwa vizuri ilikuwa inaifunga yanga ni kawaida ulipigwa nne au umesahau.
Kwa kuwafunga zalan fc na marumo gallant vibonde akitoa ahadi salah ndio GSM hyo ulitaka atoke GSM mwenyewe unadhani hana akili salah ndio ilikuwa anatoa ahadi kwa kigezo cha silent ocean kuwa mdhamini.Unaleta hisia..... Nitajie timu moja ambayo GSM kupitia Official Staff wake alisema mkiifunga 5imba atatoa kiasi fulani?
Hizi timu hazina hela halafu kuendesha timu sio swala dogo, hivi mfano GSM akisema anaondoa ufadhili kwenye hizi timu hushajiuliza zinajiendeshaje? Sasa hivi mpira wakibongo rushwa zimepungua kuna kipindi timu hata pakulala tabu, posho hamna?
Tengenezeni timu acheni malalamiko, shauri yenu, mmeplan muwape muda wachezaji wenu kuweni wavumilivu naona mna wasiwasi.Striker kacheza mechi mbili tu mmemtafuta striker mwengine, yaani mnapresha wakati mlikubakiana muwe wavumilivu. Kwa ubora aliyokuwa nayo Yanga misimu hii mitatu ni timu chache sana zinaweza pata hata droo,ndio maana aliingia fainali ya CAF confederation na robo ya Championship, ina maana huko alikuwa anahonga. Mpira mchezo wa wazi..........
Wewe uliwafunga......?,mbona uliishia robo na Kaizer Chief tena mkachoma na pitch ya watu mkapigwa faini ya USD 10k.Kwa kuwafunga zalan fc na marumo gallant vibonde akitoa ahadi salah ndio GSM hyo ulitaka atoke GSM mwenyewe unadhani hana akili salah ndio ilikuwa anatoa ahadi kwa kigezo cha silent ocean kuwa mdhamini.
Haya Azam Azam nao sasa hivi wanawadhamini Namungo kuanzia msimu huu, vipi na hawa nao unasemaje?Inawezekana upo sahihi ila AZAM huwa haweki ahadi ya pesa kwa team anazizidhamini kitendo cha team zinapocheza na simba kuahidiwa pesa wakiifunga simba sio ishara nzuri msimu uliopita team zikicheza na simba zinaahidiwa pesa pamoja na yule ndugu yke GSM na baadhi ya wakuu wa mikoa ambao ni utopolo that is my point simba kufungwa na yanga ni kawaida hata simba ilivyukuwa vizuri ilikuwa inaifunga yanga ni kawaida ulipigwa nne au umesahau.
Muunganiko wa timu hauji kama kuweka sukari kwenye kikombe cha chai. Hata Nabi alipokuja Yanga aliomba aulizwe habari baada ya siku 90.Ligi hata haijaanza kufikria suala la muunganiko wa timu yenye wachezaji 15 wapya na mwalimu mpya baada preseason ya wiki tatu ni aina fulani ya wenda wazimu.Tayari mapicha picha yameanza huko mitaa ya ubwelani.
Muunganiko hauonekani huku baadhi ya mambwela wake waki a mini ubwela utachanganyia mwendo katikati ya mashindano ya ligi.
Wakati wakiwa wana tafuta muunganiko ambao haujulikani utapatikana lini watajikuta pacha mwenzake kamuacha mbali sana kwa tofauti ya alama.
Watafukazana alafu bonge nae kama kawaida atapokea ubwela uliochacha akitaka kuuchachua na kuinua matumaini hata nafasi ya nne, wakati huo msimu unaeleka tamati na wakitafuta mwalimu mweupe mwingine ili kuendelea na season.
Soka ni uwekezaji na siyo janja janja, ukiweka janja janja mambo wala hayajifichi kwani soka ni mchezo wa wazi.
Soma tena comment yangu utaelewa.Haya Azam Azam nao sasa hivi wanawadhamini Namungo kuanzia msimu huu, vipi na hawa nao unasemaje?
Kwani tangu mpigwe 👋 bado hujapona?Yanga bingwa mpaka sasa ana point za team 6 anazozidhamini kinyemela.
Soma tena comment yangu utaelewa.
Hebu soma ulicho kiandika naona umesahau ulicho kiandika, then karudi kwenye hizo picha nilizo ziattach?Yanga bingwa mpaka sasa ana point za team 6 anazozidhamini kinyemela.