HUO SASA MTIHANI

HUO SASA MTIHANI

busy bees

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2016
Posts
2,249
Reaction score
1,340
Salamu kwenu wana jamii pande hizi .... Picha ilo hapo chini yaonyesha kazi ya "house girl" ..... Swali ....

Je ni kosa lake (housegirl) kutokufahamu afanye nini ......

Ama ni kosa la bosi wake kutomwelekeza afanye nn ...
 
FB_IMG_1470854378278.jpeg
 
Haahahahaha aiseeee huyu house girl msukuma au dah hii sio kawaida
Yawezekana ka-drop tu toka kuleeeee afu hajui A - Z ya hivyo alivyovianika [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Back
Top Bottom