Uwesutanzania
JF-Expert Member
- Feb 9, 2019
- 1,615
- 1,901
Mi sijui ila endelea kuimba ipo siku mtajikuta mkiwa kwenye kambi za wakimbizi,. Waulize libya na sudani
Ni kama unapambana kujenga hoja lakini uwezo huna. Inaonekana umesoma Chuo cha Kata. Kama vipi nenda Veta kajinoe upya kama alivyoshauri Mhe. Waziri Mkuu. Ni hilo tu kwa leo.Mi pia kipindi nikiwa muhuni tu mtaani nilikua nikiwa ndani ya basi natoka mkoani nilikuwa natamani gari ipate ajali ili nipate mali za abiria watakaokuwa wamekufa🤕🤕🤕 bila kujua kuwa wenda kwenye hiyo ajali na mimi nitakuwa miongoni mwa marehemu au watakao kwenye hali mbaya,.
Funzo:
Kipindi unaombea hili taifa mabaya na machafuko kumbuka kuwa na wewe pamoja na familia yako mtakuwa ni miongoni mwa wahanga wa hayo matatizo.
Yangu ni hayo sitawaambia kitu chema tena.
Ni mimi wako UWESUTANZANIA ✍️
NI REFORMS NO ELECTION.Mi pia kipindi nikiwa muhuni tu mtaani nilikua nikiwa ndani ya basi natoka mkoani nilikuwa natamani gari ipate ajali ili nipate mali za abiria watakaokuwa wamekufa🤕🤕🤕 bila kujua kuwa wenda kwenye hiyo ajali na mimi nitakuwa miongoni mwa marehemu au watakao kwenye hali mbaya,.
Funzo:
Kipindi unaombea hili taifa mabaya na machafuko kumbuka kuwa na wewe pamoja na familia yako mtakuwa ni miongoni mwa wahanga wa hayo matatizo.
Yangu ni hayo sitawaambia kitu chema tena.
Ni mimi wako UWESUTANZANIA ✍️
Kwamba?Umeongea point sana
Mtu anawezaje kuliombea Taifa lake aliomo mabaya? Hivi kwenye familia ya Mzee Ali Kibao ni nani aliombea yule Mzee mswalihina wa watu auawe kinyama vile?Kipindi unaombea hili taifa mabaya na machafuko kumbuka kuwa na wewe pamoja na familia yako mtakuwa ni miongoni mwa wahanga wa hayo matatizo.
SawaNi kama unapambana kujenga hoja lakini uwezo huna. Inaonekana umesoma Chuo cha Kata. Kama vipi nenda Veta kajinoe upya kama alivyoshauri Mhe. Waziri Mkuu. Ni hilo tu kwa leo.
Mi sijui ila endelea kuimba ipo siku mtajikuta mkiwa kwenye kambi za wakimbizi,. Waulize libya na sudaniNI REFORMS NO ELECTION.
SawaUmeongea point sana
Nilale mie lugha unaiongea siifahamuKwamba?
Mtu anawezaje kuliombea Taifa lake aliomo mabaya? Hivi kwenye familia ya Mzee Ali Kibao ni nani aliombea yule Mzee mswalihina wa watu auawe kinyama vile?
Hivi Aquilina Aquline alipokuwa anatoka darasani siku ile nani alikuwa anamuombea mabaya hadi akapigwa risasi?
Hivi Ali Zoka wakati anauza magazeti pale Morogoro ni lini, wapi na nani aliomba mabaya yampate hadi akapigwa risasi?
Hakuna mtu anayeiombea nchi yake mabaya bali wapo watu wanaotumia madaraka yao vibaya!
Huko ulikokutaja vurumai ilianzia kwa watu walioko madarakani. Libya na Sudan inahusiana vipi na NO REFORMS NO ELECTION!?Mi sijui ila endelea kuimba ipo siku mtajikuta mkiwa kwenye kambi za wakimbizi,. Waulize libya na sudani
Tena nikionaga abiria ana simu kubwa ndio natamani gari ipinduke kabisaNimecheka hapo kwa watu waliokufa 😀😀😀😀
Sawa mzee mfuga misukule uilishe vizuriKuwe na "vetting -like mechanism" wakati watu wanajiunga na JF.
Tunaweza kujikuta siku tupo milioni 30 wanachama wa JF lakini misukule ni milioni 29.8 inajaza seva kitakataka.
Hata Mimi nashangaa hii kitu. JF imekuwakuwaje siku hizi?!Hivi kwani lazima kila mjinga humu jf aanzishe uzi?
Ccm wakitaka kutolewa madarakani hizo ndio nchi mnazotolea mfano? Kwanini hamtolei mfano nchi zilizofanikiwa kwa kuheshimu chaguzi zao?Mi sijui ila endelea kuimba ipo siku mtajikuta mkiwa kwenye kambi za wakimbizi,. Waulize libya na sudani
Kama ipiCcm wakitaka kutolewa madarakani hizo ndio nchi mnazotolea mfano? Kwanini hamtolei mfano nchi zilizofanikiwa kwa kuheshimu chaguzi zao?