WILSON MWIJAGE
JF-Expert Member
- May 30, 2011
- 276
- 78
miaka 2 kama hawajawai kuwapamoja kama mke na mume ndoa inafutika nilivyockia mm
umiaka 2 kama hawajawai kuwapamoja kama mke na mume ndoa inafutika nilivyockia mm
mimi ni mwanasheria nataka nitolee ufafanuzi suala hili, hakuna muda maalum wakuachana kusheria ila kuaa mbali kwa muda wa miaka 3 bila kuwa under the same roof then a party to the marriage can use that as one among the grounds for divorce na ni lazima iwe kwa miaka 3 mfululizo, pia kuna other grounds like adulterly ambayo ni uzinzi kwa kiswahili nadhan, kubadili imani na kuwa na imani ambayo mwenzako wa ndoa haielewi na inampa mashaka, kuugua magonjwa ya kumfanya mwanaume asiweze kuwa na uwezo wa kufanya tendo la ndoa na mkewe ambacho ni kitu muhim na sababu zingine nitasema cku ingine.

Ndugu,
Asante sana kwa ufafanuzi wa kina, lakini kama alivyosema Muleba; Chukulia kwamba tumekubaliana mimi na mke wangu kwamba aende kwao kufuatana na hali ngumu ya kimaisha inayotukabili mpaka hapo itakapo tengamana. Je nao ni muda wa miaka mitatu ndipo ninaweza au anaweza kudai taraka mahakamani na mahakama ikaridhika?
Haya makabila haya...'sa zingine' inabidi tuchukuliane tu hivyo hivyo! Mwanzoni nilidhani tatizo hili lipo kwenye matamshi tu kumbe hata kwenye kuandika lipo!Jamani tusije wote tukaoneka hatujui lugha yetu ya kiswahili....
Jamaa nasema ....HUPI!! ......badala ya Upi!!!!!!!!
Edit bwana ni Upi, upi, siyo Hupi!
Haya makabila haya...'sa zingine' inabidi tuchukuliane tu hivyo hivyo! Mwanzoni nilidhani tatizo hili lipo kwenye matamshi tu kumbe hata kwenye kuandika lipo!
suala ya mgawanyo wa mali na custody of children huja baada ya kutatua ishu ya whether the marriage is broken irreperably, mali hugawanywa ile tu iliyopatikana baada ya ndoa kwa maana tunapresume wote wawili mmechangia nguvu kwa namna moja au nyingine na hapa haswa wanawake lazima mfahamu mume pia yupo entitled kupewa ulichochuma wakati wa ndoa, kama nyumba haikujengwa wakati wa ndoa lakini mlihamia baada ya harusi na mkaishi maisha yenu hapo, pia huchukuliwa kuwa 'matrimonial home' so inaweza kuingizwa kwenye mgawanyo wa mali. Ila zawadi na mali zilipatikana kabla ya ndoa hazitaguswa.
aliyewaunganisha MUNGU BINADAMU asiwatenganishe