Hakuna mwanzo usiokuwa mwisho vumlia tu mwisho wako ndio umefika
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Tunaokunywa pombe za gharama kazi tunayoView attachment 823671
Ngoja niende kwa msukuma nikatafute konyagi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Dah tangulia nakuja... Unisubiri kona ya makaburiniNgoja niende kwa msukuma nikatafute konyagiView attachment 823673
Tunaokunywa pombe za gharama kazi tunayoView attachment 823671
Wee mzee uchawi uko damuni kweli. Ya nini kutamanishana? Leo nimefunga sasa ngoja kesho yangu[emoji23] [emoji23] [emoji23] View attachment 823669
hahahaOgle wako uuze zaidi.... Tutakutana polisi post.... Ila ndio hivyo bei ya dola moja na Lita ya patrol havipishani sana..... Pengine mwakani tutafanya vice versa yani bei ya pombe iwe ndio ya wese na dola.,..