Kweli wachagga nouma, vyuma havijakaza
Safari Kwenda Kilimanjaro iko pale pale, Ndafu na Mbege tele Machame, Kibosho, Marangu na Rombo
Heri ya Christmas Watanzania!
Wachagga wanamuunga Mkono JPM
...Hahahaaaa kwa hilo povuuuNyinyi watu mnavyopendaga sifa sifa sifa. Utafikiri kwingine watu hawasafiri, as if barabara zingine mabasi yamesima. Na mbona mie nimetoka huko jana nimekuja nao kibao huku dar, ama dar nako kuna moshi siku hizi?
Huko kwa kukodi mnaruhusiwa piaMmekodi magari ya show off mkila mizinga hamrudi mjini
unaumwa ww wachaga lini wakamuunga mkono jpm???