Hureee,leo ndo kwa mara ya kwanza naenda kuonyeshwa kariakoo sikuwahi kufika

Hureee,leo ndo kwa mara ya kwanza naenda kuonyeshwa kariakoo sikuwahi kufika

Dah yaani hapa roho inaenda mbio sijui kukoje,kwanzia nimetoka tanga nilikuwa na hamu ya kufika KARIAKOO,coco beach,na kule kwenye kivuko

Sent using Jamii Forums mobile app
Mods, watoa mada kama hawa ndio huishusha Jf wapigeni ban tu.
_20200412_105909.JPG

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom