have a nice trip kuwa makini na coronaDah yaani hapa roho inaenda mbio sijui kukoje,kwanzia nimetoka tanga nilikuwa na hamu ya kufika KARIAKOO,coco beach,na kule kwenye kivuko
Sent using Jamii Forums mobile app
Bad timing. Mvua hii dar kubaya.Dah yaani hapa roho inaenda mbio sijui kukoje,kwanzia nimetoka tanga nilikuwa na hamu ya kufika KARIAKOO,coco beach,na kule kwenye kivuko
Sent using Jamii Forums mobile app
Safari njema jihadhari na Covid 19Dah yaani hapa roho inaenda mbio sijui kukoje,kwanzia nimetoka tanga nilikuwa na hamu ya kufika KARIAKOO,coco beach,na kule kwenye kivuko
Sent using Jamii Forums mobile app
Usisahau kutuma na picha ili nasisi wengine tupate kufika japo kwa picha.Dah yaani hapa roho inaenda mbio sijui kukoje,kwanzia nimetoka tanga nilikuwa na hamu ya kufika KARIAKOO,coco beach,na kule kwenye kivuko
Sent using Jamii Forums mobile app
Kijijini mnafungulia chemba?Nenda katembee wasikutishe, mvua hata vijijini zipo, na ukikuta wanauza ice cream huko, nunua lambaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mods, watoa mada kama hawa ndio huishusha Jf wapigeni ban tu.Dah yaani hapa roho inaenda mbio sijui kukoje,kwanzia nimetoka tanga nilikuwa na hamu ya kufika KARIAKOO,coco beach,na kule kwenye kivuko
Sent using Jamii Forums mobile app
Watu type yenu kwa kuandika uongo mnaishusha hadhi JF kuna thread ulisema uliibiwa simu kariakooDah yaani hapa roho inaenda mbio sijui kukoje,kwanzia nimetoka tanga nilikuwa na hamu ya kufika KARIAKOO,coco beach,na kule kwenye kivuko
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah yaani hapa roho inaenda mbio sijui kukoje,kwanzia nimetoka tanga nilikuwa na hamu ya kufika KARIAKOO,coco beach,na kule kwenye kivuko
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeufungu uzi wa huyu popoma.Mods, watoa mada kama hawa ndio huishusha Jf wapigeni ban tu. View attachment 1417055
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa wewe utabishaje wakati mi ndo nimeibiwa je kuibiwa nayo ni sifa mpaka ichague MTU,libeva mimi ndo niliibiwa tusibishane mkuuWatu
Watu type yenu kwa kuandika uongo mnaishusha hadhi JF kuna thread ulisema uliibiwa simu kariakoo