Huruma na haki itasaidia Antar Hamoud Ahmed kuwa huru

Huruma na haki itasaidia Antar Hamoud Ahmed kuwa huru

LITTLEANTARY

New Member
Joined
Sep 8, 2018
Posts
4
Reaction score
2
assalaam alaikum viongozi na ndugu watanzania, nasambaza barua hii kwa lengo la kuomba na sisi tusikilizwe mimi kama mtoto wa kwanza wa mtuhumiwa Antar Humud nafanyah ivi baada ya kuzidi kuongezeka machungu na shida na mfarakano na umaskini wa familia na miaka kila siku tunaihesabu ikiongezeka huku hatujui watatoka mwaka gani.

Natumia barua hii ikienea huenda ikabadilisha matokeo na ikaridhisha mahakama angalau tuepuke na shida zilizotukuta kwa miaka mitano na zaidi...

Capture.PNG

Barua inaendelea, nimeweka kiambatanisho
 
Attachments

Pole sana Mama Mzazi kwa yaliyo mkuta Mwanao ,Wakati ndio kila kitu ktk hii Dunia.Nna Amini ipo Siku Mwanao Wakati wake ukifika atakuwa na Maisha yake mengine kabisa hata kama hutokuwepo na kushuhudia ,Mungu ni Mkuu sana .
 
Pole Sana mama Daima mwenyezi Mungu hutenda kwa wakati amini hili na Daima mwenyezi Mungu muumba ardhi mbingu akutie nguvu
 
Ninachokusihi mama yetu hawa wanaocomment humu ni wanafiki na wanasiasa wao na ndio chanzo cha kukamatwa mwanao na wenzake kwani walikuwa hawaishi kelele humu kuhusu mwanao na wenzake. Usiwaamini kabisa. Tafuta njia muafaka na washauri makini hawa wanafiki wachana nao kabisa
 
assalaam alaikum viongozi na ndugu watanzania, nasambaza barua hii kwa lengo la kuomba na sisi tusikilizwe mimi kama mtoto wa kwanza wa mtuhumiwa Antar Humud nafanyah ivi baada ya kuzidi kuongezeka machungu na shida na mfarakano na umaskini wa familia na miaka kila siku tunaihesabu ikiongezeka huku hatujui watatoka mwaka gani.

Natumia barua hii ikienea huenda ikabadilisha matokeo na ikaridhisha mahakama angalau tuepuke na shida zilizotukuta kwa miaka mitano na zaidi...

Barua inaendelea, nimeweka kiambatanisho
Poleni sana kwa madhira mnayopitia,tatizo la nchi hii kesi za jinai huwa zinachukua muda mrefu sana na husababishaa machungu kwa familia.
 
Pole kwa matatizo hayo tusubiri tuone ila hapa atashikiliwa muda mrefu sana pasipo kesi kuisha
 
nikiamini kuwa mungu ndie alie waweka basi yee ndiyo atawatoa ila kama mungu alivo wapa sababu ya kukamatwa kwao basi pia ataleta sababu ya kutelewa kwa .. inawezekana hii ikawa sababu amaa ikatokea sababu nyengine bora zaidi ya haii na siku zote mungu humpa mtu mitihina mtu ili amuombe ndio maana na sisi tunamueka mungu mbele zaidi kwa uwezo wake atazibadilisha nyoyo za viongozi wetu kuwa na huruma kwetu na asanteni watanzania wenzangu ila nisaidieni kuisambaza hi barua tafadhalini
 
Tuviache vyombo vya usalama vifanye kazi yake. Mwenyezi Mungu awaongoze watende haki
 
Back
Top Bottom