Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Upole, busara na hekima ya kimaongezi na kujali yataka kuwa shubiri iliotamu. Ipo hivi kuna pisi inapitia nyakati tata ako na boy wake yuko TASAF mahali, jamaa hapati fursa ya kula mbususu, sasa upweke wa hii pisi nimekuwa mfariji, anaebalance hisia zake na utulivu.
Of recent, she has amidstly prompted her interest awe anakuja geto la mimi mninja fulani ambaye anaongea kama mtoto wa mchungaji.
Naogopa lawama. Watu wa TASAF na pesa zenu mimi nawatafunia shemeji yenu.
Kipawa cha huruma, busara, hekima, upole vinaenda kulipa matunda hivi punde, kesho saa 4 naenda kunyandua. Nitapita na pisi kula supu nono Bambalaga, bro Frank nikifika usinisalimie mara long time no see, enzi zetu za kupanda Akamba bus za kuunganisha pale Nairobi, kesho tusipige story. Bonge la pisi Mkae kwa kutulia
Maninja tuna huruma na tunapewa na tukipewa tule na tusaze. A mabele nyonyo! tupewa bwererebwerere.
Nawasalimu nikiwa geto Makuru.