Huruma ya maisha na kujiamini kupita kiasi

youngkato

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2014
Posts
3,319
Reaction score
3,097
Dunia hii bhana haina huruma

Haijui umesoma nini, unajua nini, una magumu gani.

Usipojihangaisha inakupiga kweli

Hakuna atakayekuonea huruma

Kuna watu wanasema mimi nimesoma injinia siwezi kufanya kazi za darasa la saba

My friend kuwa makini maisha ni magumu kuliko unavyofikiria

Nimetembea nchi kama kumi lakini Tanzania ndo nchi ambayo ni rahisi kutoboa kwasababu washamba ni wengi sana

Tokomeza uvivu

Ingia online jifunze kula hela za wazungu

Usijiamini kupitiliza maisha ukiwa mvivu yanakupiga kweli kweli

Changamka kabla umri haujakutupa mkono.

Life is easy and hard kutegemea na wewe mwenyewe.

Money is there waiting for you online

Thank you for your time
 
[emoji89] nimekaa paleee
Screenshot_20221109-140310_1668690851608.jpg

Sent from my TECNO LB6 using JamiiForums mobile app
 
Dunia hii bhana haina huruma

Haijui umesoma nini, unajua nini, una magumu gani.

Usipojihangaisha inakupiga kweli

Hakuna atakayekuonea huruma

Kuna watu wanasema mimi nimesoma injinia siwezi kufanya kazi za darasa la saba

My friend kuwa makini maisha ni magumu kuliko unavyofikiria

Nimetembea nchi kama kumi lakini Tanzania ndo nchi ambayo ni rahisi kutoboa kwasababu washamba ni wengi sana

Tokomeza uvivu

Ingia online jifunze kula hela za wazungu

Usijiamini kupitiliza maisha ukiwa mvivu yanakupiga kweli kweli

Changamka kabla umri haujakutupa mkono.

Life is easy and hard kutegemea na wewe mwenyewe.

Money is there waiting for you online

Thank you for your time
Sasa unatuhubiria hata hizo link za ku download mihela hutoi! Ss tukiingia online tunakutana na mauzauza tupu! Tupe link hizo

Hata maubiri bira miujiza ni bla bla bla ndio maana watu wanakimbilia kwenye miujiza badala ya bla bla bla!

Sent from my TECNO LB6 using JamiiForums mobile app
 
Ni kama umealika watu kwenye tafrija, na hao watu wakajizoa zoa kuacha shughuli zao kuja kuku'support, lakini badala ya kuwashukuru kwa kuja! Wewe una watukana na kuwaona hawana maana yoyote, kua hata wasingekuja ungefanya tafrija yako, lakini umesahau shughuli ni watu na watu wenyewe ndio hao unao watukana[emoji848][emoji3525][emoji3525][emoji3525][emoji853][emoji853][emoji53][emoji53][emoji19][emoji19]

Ni kweli ndugu
 
Back
Top Bottom