Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
Hizi huruma za taifa la Urusi kwa majirani zake na maadui zimevuka kiwango.Inashangaza adui zako wamepania kukuzingira na kukupiga lakini wewe unafanya mazungumzo nao,unawapelekea gesi ya kuplikia na kwa matumizi ya viwanda. Zaidi ya hapo halafu adui yako analia njaa na wewe unampelekea chakula ale ashibe halafu aje apigane na wewe.
Ukraine inaonesha imeelemewa kivita na uchumi wake wote wa viwanda umekufa baada ya maeneo ya viwanda kutekwa na Urusi.Kimbilio kubwa la Ukraine ni kuuza ngano zake zilizokuwa maghalani.Imeomba kwa Urusi iruhusiwe kuuza mazao yake hayo japo kupitia bandari za bahari nyeusi zilizo kaskazini na Urusi imekubali ombi hilo.Mimi kwa kweli sina huruma hizo kwa adui zangu.