Husband is needed here

Siku hizi watu mnachagua ndo maana mungu naye hawapi.....ikitaka mtu sahihi omba mungu..JF sio mbingu my dia huku hakuna malaika....and one thing my dia...waliniambiaga "ukitaka mke mwenye tabia kama zako muoe dadako"...
 
Oh my dear virgin galatia, the way you present some responses here may give us a picture that you are quarreling/indiscipline lady. To catch your favorite man all replies should be in good manner. All the best Dada.
Don't you know how to respond to your fellow?? My dear use the words which impress guys to be with you.. To be honest you have lost all characters as a wife to be.... Salute to you mibas
 
Nipo hapa nina kila sifa ila tatzo Cjui 2 kizungu dear
 
Hahaaa. Kweli lakini nimeadimika kidogo.

Hope kila kitu shwari.

Tuko vizuri, maisha yanasonga.

Nilivyoona dada analalamika nikamkumbuka, na nikakumbuka recommendation yako, nikasema nikuibue uje uone mwendelezo.
 
Tuko vizuri, maisha yanasonga.

Nilivyoona dada analalamika nikamkumbuka, na nikakumbuka recommendation yako, nikasema nikuibue uje uone mwendelezo.
Hahaaa. Asante sana umefanya vizuri. Kuna mwingine bwana kaja na ishu ya makalio.

I think there is a new brand of women aisee.
 
Hahaaa. Asante sana umefanya vizuri. Kuna mwingine bwana kaja na ishu ya makalio.

I think there is a new brand of women aisee.

Women ni revolving, they keep changing day and night.

Sasa wazee wa all weather inabidi tubadilike na system.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…