Husband is needed

Unique heart

Member
Joined
Nov 10, 2023
Posts
20
Reaction score
73
I have just turned 29, Mimi ni mdada, maji ya kunde, si mfupi, siyo kibonge Wala siyo mwembamba. Kabila langu ni mrangi, mwenye degree, ni mkristo RC, I don't take alcohol, nimeajiriwa temporary lakini, I am looking for someone to wifey me. I don't have a kid yet. Napatikana Dar es Salaam.

Natafuta ready to settle man. Mtu aliye tayari to wed. Siyo sogea tuishi.

Sifa za mtu nimtafutaye:

A man that can handle a family. Meaning financially stable.

Mwanaume ambaye ni mtulivu wa nafsi, asiye na hasira na ugomvi. Umri 30-39.

Awe mkristo RC itapendeza zaidi. Asiwe mbabe. Ambaye ataniheshimu pia. Uwe unaishi Dar es salaam.

Usiwe sharobaro wala Brother men. Usiwe wa mjini sana na Wala usiwe muongeaji sana. Because siwezi watu waongeaji. Uwe mpole. Because Mimi ni mtu calm. Uwe umesoma angalau. Usiwe bonge please uzito wako uwe around 80's. Or 60's.

Karibu PM.
 
hawa ni wanaume 10 tofauti
 
 
 
Unwareee,jamtondo.,..sema nini mie niliishiwa darasa la nne kama nitakufaa nicheki unifundishe na kirangi vizuri, na hayo ya kufika darasa la saba mpaka chuo tutajadiliana my wife to be sawa eeeh.
 
Kwa hizi sifa zako, waonekana mzuri weyeh
 
Ni kawaida ya wanawake mkifika 29 mnaanza kutafuta nice guys. Eti hutaki sogea tuishi, sasa mtu atakujuaje kama hutaki kukaa naye? Labda kama wewe ni bomu la nyuklia atajuaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…