Husband is needed

Si niko hapa mumeo
Karibu sana mke wa ndoto yangu
Hapa kwenye
Financially stable
Usijali naamini Tutajengeana uzoefu.
 
Age miaka 50, devorced, 2 daughters, anaishi nje ya nchi, financially stable +++, very polite and hamble. Hapo je?
 
Nina 40,sijaoa,watoto wawili, muislam swala tano, bachelor economics,financially stable,nipo dar
 


Hizi Elimu haziwasaidii, huwezi mpata mtu mwenye hizo sifa chini ya jua, ila unaweza uka zi identify katika safari ya urafiki na mtu.

Dada yangu, maeneo uliyopo angalia mtu anayeeleweka, mlete karibu, usithubutu kulala naye, hiyo safari ndo utajua anafaa au hafai.

Sifa ulizoweka hapo kila mwanamke anazitaman kwa mwanaume, and what do u have to offer? Wacha uupate Upendo kama style ya maisha.
 
mwanamke anatafuta mme kwahiyo wewe wanaume hawakuoni huko unakoishi au unakofanya kazi,, weee subiri haya wanaume wenzangu wa chapa ilale hata uwe na kila kitu anachotaka huyu binti kamwe huwezi ishi na mwanamke mwenye masharti kama haya masharti yataongezeka tafadhali mtafuteni popote alipo maswala ya ndoa msijisumbue hamna kitu hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…