Husband is needed

Kamba hizi.

Sijawahi kuona mrangi mkristo. Wewe utakuwa msandawe.
 
Masharti na vigezo kuzingatiwa,Mungu akujalie hitaji la moyo wako...
 
Mwal wa mathe hapa ni wapiii Certified Hater

Hebu mkuu anza hapa kwanza, ili tuelewane!
.....a man that can handle a family (1). Meaning financially stable.(2)
Mwanaume ambaye ni mtulivu wa nafsi, (3) asiye na hasira na ugomvi.(4) Umri 30-39.(5)
Awe mkristo RC itapendeza zaidi. (6)Asiwe mbabe(7). Ambaye ataniheshimu pia. Uwe unaishi Dar es salaam(9). Usiwe sharobaro wala Brother men(10). Usiwe wa mjini sana na Wala usiwe muongeaji sana. (11) Because siwezi watu waongeaji. Uwe mpole.(12) Because Mimi ni mtu calm. Uwe umesoma angalau. (13) Usiwe bonge please uzito wako uwe around 70's. Or 60's.(14)

Mwalimu wangu Depal Nihitimishe hiyo full packge inayotafutwa hata kwenye karakana ya uumbaji haipo kwenye order.. Mashauriane Vizuri. mtamtafuta Muumba ubaya tu
 
Mkuu hivyo vigezo vyote huwezi kumpata maana hatuna vyote.
 
Dar RC imenikosesha mke jmn
 
Msinga ni nkasu URI huu!!?


Uri mlaangi wa hai wewe!!?

Nene meeto ni changaa kuraa arami wewe wa haiii!!?

Kama wewe ni mrangi kweli utakua umenielewa!!
 
Tatizo Vigezo Vingi kama Kazi za TAMISEMI,

Hata hivyo Kumuoa mwanamke anayekaribia Miaka 30 Hayo sio mapenzi ni Tukio la uokoaji.
Eti tukio la uokoaji. 🀣🀣🀣🀣 ila kweli hapo wanaume wamepiga na kupiga afu ujibebee tu 29 kwa masharti lukuki. Ila wanawake wanaona wanaume wanaumbwa kwa matazamio yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…