Husband Needed

Umeshapata?
 
Duh! Labda upate jibaba lilofiwa na mke na lenyewe lina watoto debe, kumpata kijana barubaru akuoe na huo mzigo wako ni shughuli pevu. Labda uwe una umbo zuri, sura nzuri wanaume watajitosa kukupata. Vinginevyo utaishia kuliwa uroda na kuongezewa watoto na usiolewe. Kama una heshima na nidhamu ni sifa ya ziada
 

We pambana na hali yako tu siulijitia unajua sana mpaka ukaachwa na jamaa yako.

Uliona una hicho kikazi na vipesa vya kikao na madokezo ukajua maisha tayari?

Pambana na upweke sasa vijamaa vitakumega sana hasa wakati huu ambao una stress [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…