Husbands

Husbands

Askofu

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2009
Posts
1,664
Reaction score
87
Wives have resorted to putting their (meso-meso) men in the newspapers to stop cheating:

image001.jpg

Hii imefika Bongo??
 
Huyo mwanamke alietoa hiyo picha ya mumewe hajatulia kabisa,halafu ndio kwanza anamtafutia soko kwa wale wanaopenda waume za watu. Hiyo,haisaidiikabisa,Mwanamme au mwanamke KAMWE hachungwi,bali hujichunga mwenyewe. Duuuh,nazidi kumshangaa huyo bibie,anaanika simu yake hewani ili atongozwe au?
 
Ikifika Bongo, na wanawake wa kibongo nnavyowafamu watamtafuta huyo mwanaume kwa makusudi ili wamkomoe huyo mkewe mwenye wivu aliyetoa tangazo.
 
burudani duniani.....kuna wakinamama wanajua kuumiza vichwa vyao
 
Hehehe Wakenya bana,
Huyu atakuwa Mama Kayayii na mzee Odweng na Mwala mpambe
 
Daa,hii imetulia..Na wanawake pia wawekwe kwenye picha,kwani nao huwa wanacheat vile vile.
 
Every desirable thing in life is Either illegal, prohibited, banned, expensive, unauthorised or MARRIED to someone else!
 
Huyo mwanamke alietoa hiyo picha ya mumewe hajatulia kabisa,halafu ndio kwanza anamtafutia soko kwa wale wanaopenda waume za watu. Hiyo,haisaidiikabisa,Mwanamme au mwanamke KAMWE hachungwi,bali hujichunga mwenyewe. Duuuh,nazidi kumshangaa huyo bibie,anaanika simu yake hewani ili atongozwe au?

isn't this against human rights?
 
Every desirable thing in life is Either illegal, prohibited, banned, expensive, unauthorised or MARRIED to someone else!

Whoever Knows Everything Is Expert In Nothing
 
Duuu kina mamii wana ushirikiano! yaani hii maana yake sio lazima akuchukue wewe mamiii,hata ukimuona yuko karibu na kadada unatwanga simu!Ila kwa TZ ingebidi awawekee toll free line!Na huyo bwana mzee mpaka kawekwa gazetini ina maana ni kiwembe kikali i.e njia zingine za kumfundisha adabu kwa kumuweka kwenye magazeti ya kurekebisha jamii kama sani,ijumaa etc zimeshindikana.
Lakini mbona napiga hizo number kwa country code ya Kenya,hazifanyi kazi?
 
Hiyo I surport and if possible wanawake nao wabandikwe. Ni mbinu ya kupunguza maaambukizi ya VVU.:yuck:
 
Back
Top Bottom