Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,577
[emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106]
uwe unajitahidi mkuu[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Dhaaa!! Naptwa na mengi mazur
Nkikosa kuperuz jf aisee
Hahaaaaaa haya sasa tigitaneniWe ni Wa vale mkuu mi nitakuwa dadako kwa heshima ya kwetu kigoma
Umuleke shedede atigite
Huyu shedede katokea wapi tena???[emoji15] [emoji87] nimemfanyia nn?!
mungu yu nanyiHongera sana brother.
Nasi ipo siku tutaleta Uzi tukifanikiwa kupata. Tuko njiani.
cc steve mengereAisee kumbe Shunie ni "agent" siku hizi hahahahaha
shukran mkuuHongera kwa kupata changamoto mpya ya maisha.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ni-suicede na mimi then ni-drop river mahabatiUnajua umenichanganya!!! Kumbe ushachukua avatar ya shemdarling!!!! [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Jamani mahaba ni-suicide!!!!
Kabisa yaani ukija umechangamka hatuna budi kuchangamka na ukija umepooza hivyohivyo tunaenda nao.
Ilimradi siku zinakwenda.
Wacha uchochezi Mahondaw
Haa haa haa ahsante sana mkuuSijambo aisee. Mvua zimeisha na wewe umerudi.
Karibu tena.
Ushauri mzuriHongereni. Ila ndio msubiri changamoto mana wapo wasiosikia mahusiano ya watu humu lazima wataanzisha thread zisizoeleweka lengo kuwaharibia.
Kama mnapendana kweli na kwa kuwa bado mmo humu jf mjifunze kufumba macho kila kitakachoandikwa juu yenu mkipotezee hapo ndio mtafika mnapopataka.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23] [emoji23] [emoji23] ni-suicede na mimi then ni-drop river mahabati
Na wewe fungua ID nyingine alafu ujitongoze!!!Husna muba na shedede ni mtu mmoja anayemiliki ID kibao, id mbili kati ya hizo akazitongozesha na kuzikubalisha ziwe wapenzi.
Hatari sana, aina hii ya wanaume kujiona sometimes kama wanawake na kugeuka wanaume tena inazidi kuongezeka, na Mara nyingi wanaume wa hivi wanakuwa na mwisho usio mzuri. Malinda yanahusika hapa.
Kwani Ivuga ndo mmiliki wa kampuni ya Inna?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nisalimie ivuga
Wewe pia ni wa kiume, unatumia na kujitambulisha kwa ID ya kikeNa wewe fungua ID nyingine alafu ujitongoze!!!
Kwanini inakua ngumu kufurahi na wanao furahi jamani!?
Hahahaaa! Usijali aisee ndio naitafutia nyama nyama za kuijazia ili ikija ieleweke.Kwa kweli aisee.
Ngoja nikae kae hapa nadhani kuna siku utanifungulia thread.