Shuhuli shuhuli tu mkuuMmh. Sio kwa kupotea huko. Kulikoni?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji106]Simsemi kwanza!!! Namfutilia kwa mwaka mzima..
Hahahaaa! Usijali aisee ndio naitafutia nyama nyama za kuijazia ili ikija ieleweke.
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Wa kiume mkuuHuu mkono wa kike?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Jamii Forum bana, kama boarding ya mchanganyiko.
Unanionea Husna..... Hebu soma uzi vizuri.Wewe wasema
Asante mkuuNaam, hongera sana my dear,
Mshikilie nganganga.
Ulikuwa hujui?!Ni tanzania pekee kupata mpenzi ni maendeleo kwa mhusika.
Usijali ,hizo shughuli ndio bora zaidi na ndio za kuzipa kipaumbele kwa sababu ndio zinafanya simu isikose MB za kuja huku mtaani kwetu. [emoji2] [emoji2] [emoji2]Shuhuli shuhuli tu mkuu
Za hapa na pale
Jion na asubuh ndo
Najiona kweny mtaa wetu huu
Huo sasa uchochezi mkuuHaiwezekani aiseeee maana anaonekana ana experience kabisaa[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hiyo dushe ulinipa wewe?Wewe pia ni wa kiume, unatumia na kujitambulisha kwa ID ya kike
Kweli aisee mana hawachelewi kusema ni mtu mmoja.Halafu inabidi uache kwanza upepo wa hawa watangulizi upite, isije onekana kama tunaigana.
Ila mambo ya kubadilishana ID hayamo kwenye mkataba wetu.
UpooooHuo sasa uchochezi mkuu
Mi simooooo
Umeona ee...!?[emoji4]Kabisa yaani ukija umechangamka hatuna budi kuchangamka na ukija umepooza hivyohivyo tunaenda nao.
Ilimradi siku zinakwenda.
Hee [emoji15] [emoji15] [emoji15] mbona sielewi elewi hapaKweli aisee mana hawachelewi kusema ni mtu mmoja.
Acha tu ila ndio neema za muumba zinapokuja hatuna jinsi kuzipokea japo zina shida ya hapa na pale.Haa haa haa ahsante sana mkuu
Bora tupambane na hiki
Kiangaz maana c kwa mvua
Zle
Tope lnakuaga kama ugali
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] VP baba yeyooo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Tenq gavamenti skuli
Kweli aisee mana hawachelewi kusema ni mtu mmoja.
Huelewi nini tena my?Hee [emoji15] [emoji15] [emoji15] mbona sielewi elewi hapa