Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,577
Kule mjengoni hatumuoni then anajiita kapuku!!!!!ata mimi mwenyewe namshangaa
Eti. [emoji2] [emoji2] [emoji2]Hahaha, kwamba nimejiandikia na kujijibu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji106]Hahaaaaaa haya sasa tigitaneni
Mmh! mzeewakungoa wewe jina gani hilooNimekusikia 'kungwi' ha ha ha ha ha.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] katokea jf mkuuHuyu shedede katokea wapi tena???
Mkuu kuwa na adabu banaaHusna muba na shedede ni mtu mmoja anayemiliki ID kibao, id mbili kati ya hizo akazitongozesha na kuzikubalisha ziwe wapenzi.
Hatari sana, aina hii ya wanaume kujiona sometimes kama wanawake na kugeuka wanaume tena inazidi kuongezeka, na Mara nyingi wanaume wa hivi wanakuwa na mwisho usio mzuri. Malinda yanahusika hapa.
Oyooooo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji106] [emoji106] zuga zuga hivyo hivyoKwa kweli aisee.
Ngoja nikae kae hapa nadhani kuna siku utanifungulia thread.
mhh!! ishia hapo please
Ndoq zngne ztaingia doa
Asubuh hii
Af nisaidie kumsalimia
Huyu mwali wa shedede
Tena mchochezi haswaaaWacha uchochezi Mahondaw
Co smart911
Ok thanksHongereni...muweke akiba ya hayo matamu ili machungu yatakapokuja muoffset na akiba ya matamu..always muwe positive....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] tena ule Wa dona aiseeHaa haa haa ahsante sana mkuu
Bora tupambane na hiki
Kiangaz maana c kwa mvua
Zle
Tope lnakuaga kama ugali
[emoji4] [emoji106]Na wewe fungua ID nyingine alafu ujitongoze!!!
Kwanini inakua ngumu kufurahi na wanao furahi jamani!?
Ulikuwa hujui?!Kwani Ivuga ndo mmiliki wa kampuni ya Inna?
[emoji15]ukimchoka nipasie mkuu mana me napenda mitumba
[emoji4]Wewe pia ni wa kiume, unatumia na kujitambulisha kwa ID ya kike
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Hahahaaa! Usijali aisee ndio naitafutia nyama nyama za kuijazia ili ikija ieleweke.
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Halafu inabidi uache kwanza upepo wa hawa watangulizi upite, isije onekana kama tunaigana.
Ila mambo ya kubadilishana ID hayamo kwenye mkataba wetu.
Nimeusoma na nimeuelewaUnanionea Husna..... Hebu soma uzi vizuri.