mzeewakungoa
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 4,969
- 13,919
Mi ntakunulia AnqasusRedbull bhana
Bathiiiii nimekomaaaa[emoji85]Wewe mtoto nidhamu yako ndogo.... Unajua Emmy ni dadaako ....hata ingekuwa hivyo lazima utumie lugha ya adabu.. Ha ha ha ha ha.
Itakuwa ban hilooMondray kapigwa ban au ni fashion?
[emoji144]
Mi Wa kigoma dada[emoji4]Nae huyo sijui wa wapiii bhana
Mm hapa[emoji144]
[emoji134] [emoji134]Husna njoo ujibu kesi
Tumeshayamaliza kule kwa prime minister (PM).Amekuja emmy ...mfungulie mashtaka yake
Mbona hukunishirikisha bana na sote sisi na waathirika! Ha ha ha haTumeshayamaliza kule kwa prime minister (PM).
Hahahaaa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji106]Tumeshayamaliza kule kwa prime minister (PM).
Hahahaaa.
We nae mgombanishi sasa ivuga wa nn hukuCc.ivuga
Itabidi unifahamishe mulivyoelewana......Tumeshayamaliza kule kwa prime minister (PM).
Hahahaaa.
Tumeshayamaliza kule kwa prime minister (PM).
Hahahaaa.
Nilikuweka pembeni kidoogo kwa nia ya kuja kukuletea mrejesho baadae.Mbona hukunishirikisha bana na sote sisi na waathirika! Ha ha ha ha
Hahahaa! Nimemuelewesha maana ya lile neno lake hivyo tumekubaliana hato litumia tena kwani hakujua kama lina ukakasi.Itabidi unifahamishe mulivyoelewana......
kule kule kwa prime minister
Umefanya vizuri..... Lakini huo mrejesho uniletee private kwa sababu umechukua maelezo private... Sawa emmy?Nilikuweka pembeni kidoogo kwa nia ya kuja kukuletea mrejesho baadae.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Mbona wa kigoma wako na adabuMi Wa kigoma dada[emoji4]
Ndo nini hiyoMi ntakunulia Anqasus
Mwenzangu....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] basi sorry mkuuWe nae mgombanishi sasa ivuga wa nn huku