chris de ridder
Member
- Feb 10, 2017
- 32
- 21
Hujambo emmy?Naenda kutafuta kitakachonoga zaidi mana pole ameikataa.
Tunashukuru[emoji120]Hongera sn
Hahaha bakora mbili how [emoji23] [emoji23] [emoji23]Basi nakupunguzia.... Shedede utamchapa bakora mbili tu... Sawa?
Tunashukuru moreHaya bana 'kazi sio kufunga ndoa bali kazi ni kuilinda ndoa best.
Sijambo. Mzima mzeewakungoa?Hujambo emmy?
Pole kwa kuumwa ndugu. Unaendeleaje weye?Hongereni sana mm nawaombea mfike mbali zaidi msiniangushe jamaan nitakufwaaa
Mimi mzima sana emmy... Namshukuru mungu.Sijambo. Mzima mzeewakungoa?
Pole na Kuumwa....Hongereni sana mm nawaombea mfike mbali zaidi msiniangushe jamaan nitakufwaaa
[emoji1] [emoji1] [emoji1] thank youBasi nakupunguzia.... Shedede utamchapa bakora mbili tu... Sawa?
Asante mkuuHongera sn
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Hahaha bakora mbili how [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Explain
HAtuwezi kukuangusha kabisaaHongereni sana mm nawaombea mfike mbali zaidi msiniangushe jamaan nitakufwaaa
Jig-saw mechanismHahaha bakora mbili how [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Explain
Waoo naisubiria post yako aiseeHongereni sana mm nawaombea mfike mbali zaidi msiniangushe jamaan nitakufwaaa
Hivi cuzoo kwani kazi ya udalali umeanza lini?Hongereni sana mm nawaombea mfike mbali zaidi msiniangushe jamaan nitakufwaaa
Nimeshapoa mamy naendelea vizuri namshkuru Mungu sijui wewePole kwa kuumwa ndugu. Unaendeleaje weye?
santeee shemela kwa Emmy nakuona na sakayo anakusaidia usituangushePole na Kuumwa....
Safiiiii ndio ninavyopendaHAtuwezi kukuangusha kabisaa