Husna Muba and Shedede (new couple)

Husna Muba and Shedede (new couple)

....hili jukwaa si stress free?
.kumetokea nini tena,mbona watu wamekula umeme hivi;
....ama makapuku wameamua tu kuwa na avatar ya aina 1
 
Nice couple[emoji4] [emoji4] [emoji4] mi cjui nitapata ln?!
 
HAYAWI HAYAWI SASA YAMEKUWA
nimepata yule aliyechomoka kwa ubavu wangu ambaye ni miezi kumi na moja naangaika kulipata tulizo la nafsi yangu hatimaye yamekuwa yule kila napo lala yeye ndo usingizi wangu yule kila napolia yeye unifaliji kwa kunifuta machozi si mwingine ni husna muba amekuwa ni zaidi ya rafiki kwangu nampenda sanaa

shukrani za dhati kabisa kwa shunie kwa kunisogezea karibu mtoto mzuri kabisa

husna muba [emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji8] [emoji8] [emoji8] love you so much
Dah...Dogo...sasa inabidi upige kazi na mazoezi kwelikweli.....na ule ushibe hasa....maana usijerudi unalialia hapa😀😀😀😀
 
Nice couple[emoji4] [emoji4] [emoji4] mi cjui nitapata ln?!
Dah...Usijali baada ya anko Magu kuziba mianya ya upigaji...na huu uhakiki wa vyeti...... imekuwa simpo sana kupata dem🙂🙂
 
Back
Top Bottom