Husna Muba and Shedede (new couple)

Husna Muba and Shedede (new couple)

Husna muba na shedede ni mtu mmoja anayemiliki ID kibao, id mbili kati ya hizo akazitongozesha na kuzikubalisha ziwe wapenzi.

Hatari sana, aina hii ya wanaume kujiona sometimes kama wanawake na kugeuka wanaume tena inazidi kuongezeka, na Mara nyingi wanaume wa hivi wanakuwa na mwisho usio mzuri. Malinda yanahusika hapa.
Mhh mkuu fanya uchunguz kwanza[emoji20]
 
Back
Top Bottom