Wadau JF,
Jamani nimesoma kwenye Gazeti la Mwanachi la jana 10/4/2010 kwamba huyu mama ambaye alikuwa Katibu Mkuu wa UWT, amepewa Ukuu wa Wilaya ya Tandahimba.
Sasa hii imekaaje,Kule UWT, Mkutano Wa baraza kuu la UWT,walitoa Tamko kuwahafai, utendaji wake ni mbovu na dhaifu,huku JK amemteua kwenda kushika wadhifa huo,ili kuimarisha ufanisi wa kazi.
Hii Vipi tena jamani?
Mawili...
Aidha UWT walimwonea na ni mtendaji mzuri....au JK ahjui kupima ufanisi wa mtu kuliko UWT
kabla hajawa Katibu mkuu wa UWT Alikuwa DC wa Hai, Hivyo JK anajua utendaji kazi wake ni mzuri hata kule Hai wanamlilia.UWT ni majungu na Umbea na yeye ni alibrave and bold enough with straight forward sentences.